Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Yaani sisomi hizo faida mimi nilishalipitisha wazo.
We Kenge una hoja nzuri.

Sio miarabu fambaf zao
 
Dr Motorola PhD, wewe ni rare genius level ya Sir Isaac Newton. Unapaswa kuwa Rais wa Marekani baada ya TZ kuwa jimbo la 51 la USA.
 
Jiunge pekeako kushndwa kwa kiongozi mmoja kutmia rasilimali zilizopo haimanishi kwamba watanzania wote hawana ufahamu.Hyo thread ni ya mtu aliyekata tamaa,tayari ww ushajikatia tamaana hata hvyo mbona viongoz wetu wanatmia vyema rasilima unataka wafanyaje?Hujasoma ecomic phases?Dont give up!Dont compare yourself wth other.You can show wonders even yourself.Marekani hatuwezi tkaungana nae na kuwa jimbo lake asahau kabisa!
Wewe ndo mpumbavu kabisa. Husikii huko wakisema kuwa bandari wameuza kwa vile wameshindwa kuzisimamia? Loliondo wamasai waliozaliwa pale wakafurumushwa wakapewa waarabu wa kuja. Sasa wewe unachobisha ni nini?
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Wazo lako limechelewa sana, Mwarabu Kesha nunuwa Mzigo wote tuko UAE tayari tena soon utaanza kula biriani OG kutoka UAE,na utasahau kabisa kula hilo biriani lako kwa Mariamu biriani wa Tabata!!
 
Aloo kweli aisee, nchi itapata maendeleo chap kwa haraka.

Sisi kama wamarekani tutaweka nguvu kazi hili jimbo jipya ili liwe tishio barani Africa. Na pia hili jimbo ndo litakua kama msimamizi wa nchi nyingi za Africa.

Aloo umewaza vyema, andila vyema tumpelekee mama pale kwa mkapa tar 6 ama lah hili pendekezo tumpe Ahmed atusomee pale.
 
Hili wazo litakuwa na tija sana kwa watu wa kawaida. Ila viongozi yale maigizo yao tupa kule na kuanza kuishi kwa standard za DC. Hakuna misafara ya hovyo hadi kuzuia shughuli za wananchi.
Kwa kuanzia itabidi tuongozwe na gavana kutokea jimbo lingine ikibidi ili kuwaweka sawa hawa viongozi wetu.
 
Jimbo la Alaska lilikuwa ni sehemu ya Urusi.

Kisiwa cha Mayote Commoro ni wilaya ya Ufaransa.

Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na ndio yalikuwa makao makuu ya Sultan.

Zanzibar ingebaki chini ya Oman wangekuwa na maendeleo makubwa, wilivyotekwa na Ccm tu ndio imekuwa laana kama sisi tu.
Hahahahaha nimecheka balaaa
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Wewe ni kichaa
 
Back
Top Bottom