Hivi gazeti la Nation, Standard, TIME, Newsweek na yote ya nje tunayoyaona kwenye mashelf yakiuzwa huko mjini nayo yamesajiliwa Tanzania!?
sawa, baada ya kujikosoa nn kinafata waendelee na makosa?
Baada ya kujikosoa ..............
(1)Inatakiwa wawajibike wenyewe bila kuwajibishwa
(2)Inatakiwa washitakiwe mahakamani kwa uzembe kazini,sababu wamelitia taifa hasara kwa kutokusanya kodi
(3)Wateuliwe viongozi wapya (msajili) na wakae chini nauongozi wa gazeti ili kulifungua na waanze kazi mara moja
kwa hiyo magazeti yote ya nje yanayouzwa Tanzania nayo yamesajiliwa maelezo?
kujihisi tu ndio shida yenu?? Gazeti litafunguliwa sooon!! Hakuna mahali ametajwa jakaya mrisho kikwete (rais wa tanzania) so inshu itaendeshwa kimahakama zaidi kuliko kichama,,shwain
Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.
Kiukweli ile katuni hata mimi sikuipenda naona kama ilikuwa inamdhalilisha raisi wa nchi,naona kama alikosea namna ya kutoa ujumbe labda angetafuta namna nyingine ya uwasilishaji,yaani unamchora raisi wa nchi amezungukwa na mademu halafu unawapa majina eti rushwa upendeleo,kutowajibika na nini sijui,dah!hata kama ndio demokrasia kwangu mimi naona sio kivile kwani pale kama walivuka mipaka na kweli walipaswa kuomba radhi,kwa nchi kama rwanda nadhani na ofisi zao zingesachiwa mpaka kwenye visigino vya waandishi.
Hata kama gazeti halijasajiliwa? Acha uwongo.Waongo. Soma kauli za Mwambene ndio ujue kisa chenyewe. Katika nchi za demokrasia halisi serikali haina mamlaka ya kufungia au kupiga marufuku gazeti lolote. Ni nchi za utawala wa kidikteta tu zinazofanya hivyo. Tanzania tusijidanganye kwamba tuna utawala wa kidemokrasia.
Atakuwa mwehu.Hili gazeti limekuwa punda wa kigali.Afadhali muda wake ndio unaishia. Kufungia magazeti au kuwafunga watu midomo sio dalili nzuri. Asisahau Rais ajaye atalifungulia na wataandika sana uozo wake katika miaka kumi aliyotawala.
Atakuwa mwehu.Hili gazeti limekuwa punda wa kigali.
Hebu soma mwanajamii forum mwenzetu JMALI alivyofafanua vizuri hili swala.Naomba kwa heshima yake nimnukuu kama alivyofafanua vizuri kuhusu hilo gazeti namnukuu:
"Habari zinazoandaliwa na usalama wa Taifa wa Rwanda huwa zinachapishwa na Newtimes, halafu from there huwa zinasambazwa all over EAC kwa kutumia waandishi wa kulipwa katika media zote influential kama The Citizen na Mwananchi (Tanzania), The independent (Uganda) ambalo linaongozwa na Andrew Mwenda, na The Nation (kenya) hasa kupitia The East African ambapo kuna watu kama frederick golooba mutebi, Wote hawa kazi yao ni kutengeneza image ya Rwanda/kagame na kufanya repairs pale ambapo kagame anakuwa kaharibu. Mfano kwenye kesi za mauaji ya wapinzani wake, M23 etc, ...Andrew mwenda alikuwa na kibarua cha kumtetea kagame kwenye mauaji ya karegeya kwa sababu karegeya pia ni raia wa Uganda, Kwa upande wa huyu mwigamba yeye alikwenda hadi msituni na kufanya mahojiano na Sultani makenga kiongozi wa M23 na kumuandika eti ni "mpigania uhuru" badala ya muasi/gaidi, Bosco Ntaganda wa the same M23 sasa hivi yuko ICC wakati Makenga kahifadhiwa na kagame nchini Rwanda!
Toka awe mhariri wa Citizen, kuna habari nyingi sana kutoka newtimes huwa zinarudiwa kuchapishwa na citizen under "AP"(associated press), "foreign correpondents", ... lakini ukiingia kwenye AP website na huko kwingineko unakuta kumbe originally zimetoka newtimes. Hii ni kwa sababu kila mtu anajua newtimes ni mouthpiece ya kagame hivyo haina credibility. Vile vile anachapisha makala za kuwachafua wapinzani wa kagame mfano makala dhidi ya Paul Rusesabagina (wa Hotel Rwanda) etc, makala za kumponda Shyrose, kumponda Membe na wale wote against kagame, in short everything ambacho kagame media inasambaza utakikuta the citizen. Richard Mgamba ameshawahi kujadiliwa sana humu JF so this is not unexpected, anafanya wajibu wake huko Rwanda." Mwisho wa kunukuu.
Miaka 20? Walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hatudanganyiki.Hata kama gazeti halijasajiliwa? Acha uwongo.
I knew that cartoon will irritate the Dar es Salaam,s tops though was reflecting the truth!
Dar es Salaam is no longer manageable with these habit of her tops.
Kwa hiyo gazeti kabla yahatua hizo lisifungiwe
Kwa hiyo kama mtu ukiwa mwizi uendelee tu kwa sababu umekuwa ukiiba na hushikwi!!! Hakuna marefu yasiyo na ncha.Waliokuwa wakiachia waendelee kinyume cha sheria hawapo.Na suala hapo si tu kufungiwa kama walikuwa hawajasajiliwa na wanauza kwa miaka hiyo 20 SUALA LA KODI vipi walikuwa wakilipa? TRA nawaomba haraka waende ofisi za EAST AFRICAN wafanye TAX AUDIT YA UHAKIKA YA MIAKA 20 YOTE YA USAMBAZAJI WA GAZETI HILO KINYEMELA NCHINI.