Hokou system sio kwenye elimu tu ni huduma zote za kijamii mfano hospital n.k pamoja fursa za kazi, ajira mikopo n.k, mpaka uwe na kibali cha kuonyesha umekubaliwa kutoka jimbo moja kwenda lingine.Acheni uongo kama kitu hamkijui kaeni kimya. Hakuna raia wa china anaeomba kibali akitaka kwenda jimbo lingine chief. Ila ukiwa jimbo lako mwanao atasomeshwa bure na serikali ila ukiamia jimbo lingine utamlipia. Ila mtoto huyo huyo akifaulu vizur anasomeshwa bure.
Uongo ni mwingi sanaControl ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Wala sababu haikuwa demokrasia kabisa mwanzoni mwa maandamano ya TiananmenMauaji ya Tiananmen Square yalikuwa dhidi ya wanafunzi wapigania demokrasia
Hukou system ndio inazuia watu kusafiri 😀Ulipokaa China au kutoka kwa hao marafiki zako Wachina uliweza kujua chochote kuhusu "Hukou system" ?
Kupanda gharama za maisha,rushwa na ku demand more economic reformsSababu ilikuwa ni nini?
Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.Basi waliuwawa walipoanza kudai demokrasia juu ya hayo yote.
Sasa hivi uhuru hamna na maendeleo hamna yaani vyote hamna hata akili timamu na mashaka kama mnazo pia.Je tunahitaji maendeleo kwa gharama hiyo ya kupokwa uhuru wa raia??
Hizo ni propaganda za serikali ya China tu, waliua kwa ukatili mkubwa sana maelfu ya wanafunzi waliokuwa wanadai haki za msingi, kuondolewa censorship za kipuuzi za kikomunisti na uhuru tu ndio maana mpaka leo wameharamisha raia Wachina kuzungumzia hilo tukio kabisa.Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.
Mind you General Secretary wa CCP wakati huo Zhao Ziyang aliwafuata hapo hapo Tiananmen na akakutana na viongozi wa waandamanaji hata paramount leader Deng Xiaoping alikutana nao hao CCP walisema madai yao yatatuliwa lakini waandamanaji hawakuelewa waliona usanii guess watu PLA ikatangaza martial law na wanafunzi wote waondoke baada ya hali kuzidi kuchafuka Beijing kilichofuata unajua mwenyewe.
Huyu hapa Zhao Ziyang akizungumza na protesters Tianmen Square akiwaelezea nini serikali yao inataka kufanya kuhusu demand zao hapa ni kabla kabisa mambo hayaja haribikaHizo ni propaganda za serikali ya China tu, waliua kwa ukatili mkubwa sana maelfu ya wanafunzi waliokuwa wanadai haki za msingi na uhuru tu ndio maana mpaka leo wameharamisha raia Wachina kuzungumzia hilo tukio.
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??Ubepari ni Unyama .
Nchi yenye watu zaidi ya bil. 1 ni lazima serikali iwe na mipango mizuri ya kiuchumi na kijamii na hata kisiasa .China ina miiko yake inayowafanya kuwa binadamu(Ujamaa ) na sio wanyama (Ubepari).
Angalia ubepari au unyama ulivyo mbaya hapa Tanzania ; Wamasai wanafukuzwa na ng'ombe zao ili zitoke porini zimapokaa na wananyama wengine na kula nyasi na hata kuliwa na simba ili waende Mjini wakakae karibu na mashamba ya watu wauana na ngombe wao wakose majani .
Ng'ombe ni wanyama wanaofanana na wanauama wa porini kama Nyumbu na Nyati lakini mabepari wanawaua na kuwakandamiza wafugaji kisha wanawahamisha ili wajenge mahoteli yao huko porini wanapoika vyakula vya nyama za wanyama pori . Kutokana na pesa zao wanawadanganya umma kuwa wanasaidia wanaharibu mazingira . Wakati wao wanajenga mahotel na kuua wanyama na madege makubwa yanatua huko .
Wachina wana utulivu wa akili kuliko nchi yoyote duniani ndio maana wanakwenda juu sana kiteknolojia na kimaendeleo .
Wachina katika tamaduni zao za Kung Fu na Karate na aina ya mazoezi wanayofanya yanahitaji mtu mwenye utulivu mkubwa sana wa akili .
Kusema kuwa kuwa wanagandamizwa ni kwa misingi ya unyama wa kibeberu
Mbona kukosoa mauaji na ukatili wa Israel na kukosoa ushoga ni kosa kwenye ulimwengu wa kimagharibi mbona huja wahi kuja humu kupanua midomo kuhusu hilo?Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Kwa hiyo raia wa china hawana wala wahajui chochote kuhusu nchi nyingine?Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
Wamarekani wanaikubali sana RedNote wanasema sasa hivi wanaiona China tofauti na vyombo vyao vya habari vilivyokuwa vinawaambia.Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??