Hakuna kitu kama hicho....hakuna mtu anachukia kabila zima la mtu...
Mtu anaweza kuwa anakerwa na tabia zenu tu lakin sio kuwachukia.....
Halafu wachaga mna haya mambo ya kupenda sympathy na kuonesha kuwa mnaonewa na hampendwi kùmbe nyie ndo hampendi watz wengine...
Mnakumbuka mnasema magufuli alikuwa hapendi wachaga...lakin mkiambiwa mtoe proof haipo...yaan mtu hawapendi halafu aifufue reli ya kasikazini, ajenge daraja la wami nk nk...
Angewatukana je..kama alivyowatukana watu wa bukoba na matetemeko?
You feel insecure...au kutakuwa kuna vitu mnavifanya sio halali...mnajihisi hatia...so mnatafuta sympathy...