Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Hizo shule ni za umma au binafs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipi hizo bwashee?
Bwashee kwani wewe ni mtu wa mwisenge, mbona povu kama lote?Wewe mbona hujaisha na umeanza kulawitiwa tangu uko chekechea hadi leo umeota kipara na bado wanakufokoa?
Mh!Ndyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
Unatokea gabolite mjini geita huko tocha,? Huko watu Wana kipaji Cha wivu, kisasi, ukatili na Roho MBAYA. Baadg Yao lkn[emoji58][emoji58][emoji55]Siwachukii kwababu ya juhudi zao au kustawi kama ndiyo hivyo ningechukia makibalia mengi, kwani makabila mengi tu yanajuhudi na ustawi pia.
1. Wachaga wanatamaa sna
2. wanajiona bora na kutudharau wtz wengine
3. wanaeroho mbaya hata wao kwa wao, 4. majambazi,
5. washirikina.
Yan wanajukuta ni watu special sana kumbe mavi matupu, matokeo ya ukoloni angalau yamewaweka hapo walipo vinginevyo wangekuwa watu wajabu sna
Unaona sasa mlivokuwa na dharau na mambo ya ajabu. Kwa staili hiyo hiv mtu akiwachukia mtasema ni wivu. Unafkikir mtu wa geita akisoma post yako atawapend wachaga kweli?Unatokea gabolite mjini geita huko tocha,? Huko watu Wana kipaji Cha wivu, kisasi, ukatili na Roho MBAYA. Baadg Yao lkn[emoji58][emoji58][emoji55]
Ukiona hyo shule haitwaji ujue ndo hzo za kimataifaWataje shule na walimu ili zibaki magofu
Hili jambo mkigundua kwamba mmekurupuka, mlete mrejesho bila kificho. Sitetei ushoga ila katika hili Mwandishi kawamislead mmeingia mazima.Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo.
Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya Mtanzania.
Akizungumza leo Jumanne Januari 17, 2023 katika viwanja vya Bunge, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema timu hiyo inaongozwa na Kamishna wa Elimu nchini na inajumuisha mwanasheria wa wizara hiyo na mkurugenzi wa udhibiti ubora.
Amesema mbali na hatua hiyo, wamewasiliana na Mkuu wa Mkoa iwapo kuna jinai yoyote ili hatua za kisheria zichukuliwe mara moja katika kukomesha vitendo hivyo.
"Timu imeashaanza uchunguzi katika shule zilizotajwa na hatua za haraka zitachukuliwa kwa wahusika wote watakaobainika kuhusika na kadhia hiyo,” amesema Profesa Mkenda.
Amesema katika kukabiliana na vitendo hivyo, wizara hiyo itatoa namba maalumu kwa ajili ya wananchi kutoa taarifa za vitendo hivyo vinavyochafua taswira ya elimu, kuondoa imani ya wazazi kwa shule na inaaribu vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya Taifa.
“Katibu Mkuu atatangaza namba ambayo mtu yeyote akijua kuna vitendo kama hivyo kwenye shule au chuo chochote nasi tutaifanyia kazi kwa kufanya uchunguzi ili kudhibiti vitendo hivyo,” amesema.
Aidha amesema ipo mipango endelevu ya kudhibiti vitendo ambapo wizara yake na inashirikiana na wizara nyingine za kisekta katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsi katika jamii ikiwemo maeneo ya shule na vyuo nchini.
MWANANCHI
Hii swaga mkuu, subiri hiyo taarifa.Hivi mchongo huu selikari haiujui kabsa au swaga?
Hii ndo inatakiwa..!! Unapata taarifa, unazifanyia kazi..!! Siyo unapata taarifa halafu unaanza kudai ushahidi toka kwa mtoa taarifa. Kachunguze, ukiona ni uwongo unamtafuta mtoa taarifa unasema naye.Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana
Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa
Chanzo: ITV
😁..umenichekesha sana.Umengea point mkuu wachaga ni watu wa hovyo sana, ipo siku watajutia majigambo yao.
Wewe mbona pua zimekufunguka unataka kupigwa pipe?Bwashee kwani wewe ni mtu wa mwisenge, mbona povu kama lote?
Usiwe mkali unaposhauriwa mambo ambayo ni kwa faida yako. Acheni hiyo michezo ya kubanduana. Mnaharibu jamii yenu. Au kama mnaona hamuwezi kuacha( maana mnakuwa wakali sana mnapoambiwa muache) basi msiwafundishe watoto wenu kubanduana. Mnaharibu jamii yenu.The stupidity of some of us!!!
Wew umewahi kufika kule ukayaona? Hao waliotoa hizo taarifa unawajua ? Bado nasisitiza hakuna ukweli wowote. Sehemu kubwa ya taarifa hizo ni mwendelezo wa propaganda chafu Vs maendeleo.
You are not addressing the real issue. Stop making this kama kilimanjar inaonewa. Mambo ya awamu ya 5 sijui kuitwa wezi has nothing to so with this. Stop playing victim. This is not personal. Acheni hii michezo ya kubanduana sio mizuri. Mnatumia nguvu nyingi sana kupinga kurekebishwa. Jambo ambalo ni kwa faida yenu.2025 bado mbali. Tafuta agenda nyingine. Awamu ya tano iliichafua sana Kanda hiyo kuwa ni wezi. Kilichoibiwa hakijawahi kukamatwa au kuonyeshwa hadharani hadi leo. Tuliowajua vizuri tukakaa kimya. Hata hivyo Mungu akaamua kumaliza uongo ule.
Hili la ulawiti limeanza kwa mtindo ule ule. Habari za ulawiti, ufuska mashuleni, hasa vyuoni haujasikika leo!!! Hatua zimekuwa zikichukuliwa na Serikali muda wote ilipohisiwa bila kupuliza trumpets kama tunazozisikia sasa! Hata hivyo, unapoacha kuchukua hatua stahiki na kupuliza trumpets huchafui kanda hiyo tu. Ni kuwa hata image ya chi inachafuliwa Kimataifa. Tulioko nje tumanza kuyasikia,wenzetu wakiuliza kwa vile Tanzania ina sifa nzuri nje tofauti na majirani zetu. Frankly speaking, baada ya Tundu Lissu kusa anarudi, na mikutano kuruhusiwa, ujiinga huu umeongeza kasi. Akili ya baadhi ya Watanzania kushinda jambo ni kwa kumchafua opponent!
Yale yale kama ya kipindi kile cha ubakaji.Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo.
Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya Mtanzania.
Akizungumza leo Jumanne Januari 17, 2023 katika viwanja vya Bunge, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema timu hiyo inaongozwa na Kamishna wa Elimu nchini na inajumuisha mwanasheria wa wizara hiyo na mkurugenzi wa udhibiti ubora.
Amesema mbali na hatua hiyo, wamewasiliana na Mkuu wa Mkoa iwapo kuna jinai yoyote ili hatua za kisheria zichukuliwe mara moja katika kukomesha vitendo hivyo.
"Timu imeashaanza uchunguzi katika shule zilizotajwa na hatua za haraka zitachukuliwa kwa wahusika wote watakaobainika kuhusika na kadhia hiyo,” amesema Profesa Mkenda.
Amesema katika kukabiliana na vitendo hivyo, wizara hiyo itatoa namba maalumu kwa ajili ya wananchi kutoa taarifa za vitendo hivyo vinavyochafua taswira ya elimu, kuondoa imani ya wazazi kwa shule na inaaribu vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya Taifa.
“Katibu Mkuu atatangaza namba ambayo mtu yeyote akijua kuna vitendo kama hivyo kwenye shule au chuo chochote nasi tutaifanyia kazi kwa kufanya uchunguzi ili kudhibiti vitendo hivyo,” amesema.
Aidha amesema ipo mipango endelevu ya kudhibiti vitendo ambapo wizara yake na inashirikiana na wizara nyingine za kisekta katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsi katika jamii ikiwemo maeneo ya shule na vyuo nchini.
MWANANCHI
Huko ni kubaya zaidi au husikii kesi za walimu wa madrasa kulawiti wanafunzi juzijuzi mmoja amekamatwa tarimeNdyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
Meza panado jamani madam.Aisee! Sisi wenye watoto wanaosoma huko Kilimanjaro ndo mioyo yetu kama imechomwa na pasi.
Eeh. M'Mungu tunusuru katika hili kwani linachanganya sana kichwa.