SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mimi mwenyewe nadhani hili limeibuliwa kimkakati ili kupata sababu ya kuwafuatilia hawa wengine. Na kwa kupitia kwa haraka mijadala humu naona pia siasa imeingizwa.Sio kweli!!
Sema Kuna tetesi zile shule za international zinazotumia mitaala ya kimataifa kuanza kufundisha hilo somo la LGBT kama wanavyofanya watu wa nje..
View attachment 2485068