Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Huu mkoa siku hizi ndo maana vitendo vya kishoga vimeshamiri. Kumbe huwa wanafundishana tangu utotoni. Na hata yule mgombea urais wa kile chama kinachotokea mkoa huu alikuwa ni supporter wa haya mambo. Hatari sana
Chama Cha Mambuzi ndiyo kuna mashoga wa kumwaga hadi yule mnenaji kamwagwa juzi baada ya mumewe kutaka kulianzisha.
 
Kile chama kinachopewa pesa na mashoga kule ulaya si inasemekana kina influence kubwa huko kilimanjaro? Sasa hii itakuwa ni coincidence kweli 🤔
Eee, nyie chama cha watu wa mwisenge ebu tuambieni ukweli!
😂😂😂mkuu hata mimi nimejiuliza sana hili jambo. Hata mgombea urais wao alikuwa supporter wa haya mambo.
 
Umengea point mkuu wachaga ni watu wa hovyo sana, ipo siku watajutia majigambo yao.
Ni wajanja kiutafutaji.oa huko upate hela usipowasaidia ndio utajua Kama hujui. Yeye anaangalia tu fursa hata tofauti na mzungu anakuchekea na kujifanya rafiki yako akiwa kwenu. Sasa nenda kwao ndio utajua hujui. Kafungue duka pembeni yake na uwe unamzidi mtaji utamuona atakukodia majambazi.ama kafungue biashara kwao huko wanabaguana mpaka Koo kwa Koo.
 
Akili nyingine bhana kichekesho. Shule kuwa Kilimanjaro siyo kwamba inamilikiwa na mchaga au Basi wanaosoma humo Ni wachaga tu.

Punguza chuki na ushamba.

Akili ndogo!
Jamaa wamesoma na wanaijua hela. Usikute akaibuka mmoja kukubaliana na vitendo vya kishoga ili apige hela Mana hela za rainbow zipo nje nje.kumbuka wao ndio wamesoma kabla ya watanzania wengine.
Na mareale aliwahi Kwenda un kabla ya nyerere kudai Uhuru wa wachagaa Pekee.
Ama naongea uwongo. Chuki unazo wewe ,Hakuna kabila ambalo Wana hela ama wamesoma wengi Kama hao jamaa sio level za blacks kabisa wao wanawakimbizana na waarabu na wahindi kumbuka. Hawafanyi biashara za kichuuzi wameachia makabila mengine ambao Ni vyasaka na vishoia
 
Hizi taarifa zingine unazisoma zinapenya kwenye ubongo na mwili wote unakufa ganzi, binadamu tunakwenda wapi, akili ya kawaida inakataa kabisa, unaanzaje kumfundisha mtoto namna ya kumlawiti mwenzake?
Mkuu huo mkoa nadhan mambo yamekwiva baada ya kile chama chao kupokea misaada mingi sana kutoka ulaya
 
Isije ikawa wamefundishwa reproduction in biology wao wakachanganya madesa
 
Back
Top Bottom