Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio msaada aliyopewa lissu na chadema european union. Watu wanapiga kelele dhidi ya ushoga msifikiri mambo yako poa. Hawa wamarekani na wenzao wa ulaya ya magharibi wameazimia kuharibu dunia kimaadili. Badala ya kuzubaishwa na misaada yao ambaxo wala haina tija tuchukue hatua kali kujihami.
Eti wanataka watoto wafundishwe aina zote za kujamiana kisha wachague wenyewe ndio demokrasia yao ya kiliberali. Kijana aweze kuchagua ushoga au binti usagaji baada ya kufunzwa.
Hebu angalieni hatari inayotukabili kama taifa.
Kama ukipewa msaada na wazungu unafanya ushoga, basi nchi hii wote tunapaswa kuwa mashoga, maana serikali ya CCM imashapewa misaada sana na wazungu.