Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Inasikitisha wakati mitaani watu wazima wanalawitiana kama hawana akili? Sehemu kama Dar asilimia kubwa ya wanaume wamewahi kulawiti wapenzi wao. Hii ni laana ya na itatuandama kwa muda mrefu.
Hiyi dhambi zinachagua wa kuwaandama ushoga uliko France mbona bado wamebarikiwa kuliko taifa la kilokole burundi
 
Wachaga wataisha kwa kulawitiwa
Baada ya kuona mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kua na shule nyingi kitaifa ndio mnakuja na hizi propaganda?

Mnafikiri kuichukia kwenu Kilimanjaro kutairudisha nyuma kimaendeleo?

Watu wa Kilimanjaro wataendelea kujenga mashule na kujiendeleza kielimu/kiuchumi milele na huna utakachowafanya, kama una chuki sana tafuta bomu kubwa kabisa kapige Moja uwasambaratishe wote kama Wamarekani walivyolipua Hiroshima and Nagasaki 1945

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana

Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa

Source ITV
Ndio msaada aliyopewa lissu na chadema european union. Watu wanapiga kelele dhidi ya ushoga msifikiri mambo yako poa. Hawa wamarekani na wenzao wa ulaya ya magharibi wameazimia kuharibu dunia kimaadili. Badala ya kuzubaishwa na misaada yao ambaxo wala haina tija tuchukue hatua kali kujihami.
Eti wanataka watoto wafundishwe aina zote za kujamiana kisha wachague wenyewe ndio demokrasia yao ya kiliberali. Kijana aweze kuchagua ushoga au binti usagaji baada ya kufunzwa.
Hebu angalieni hatari inayotukabili kama taifa.
 
Baada ya kuona mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kua na shule nyingi kitaifa ndio mnakuja na hizi propaganda?

Mnafikiri kuichukia kwenu Kilimanjaro kutairudisha nyuma kimaendeleo?

Watu wa Kilimanjaro wataendelea kujenga mashule na kujiendeleza kielimu/kiuchumi milele na huna utakachowafanya, kama una chuki sana tafuta bomu kubwa kabisa kapige Moja uwasambaratishe wote kama Wamarekani walivyolipua Hiroshima and Nagasaki 1945

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani Prof Mkenda ni Mbunge wa wapi?
 
Isikie tuu kwa mwenzio

Hii kitu inachoma kama pasi

Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Kila la heri serikali
Kabla Serikali hai kaanza kuzichunguza shule zinazodaiwa kufundisha wanafunzi wake kulawitiana maafisaelimu wa msingi na sekondari Moshi manispaa wapishe uchunguzi
 
Hiyi dhambi zinachagua wa kuwaandama ushoga uliko France mbona bado wamebarikiwa kuliko taifa la kilokole burundi
Hujui tu. Bongo ushoga unaweza kuwa uko mbele kuliko France. Bongo watu ni wanafiki. Utasikia mtu anapiga kelele hadharani kulaani kumbe kesho anaenda kumlawiti mke wa mtu. Na laana ninayozunguzmia mimi siyo laana kutoka kwa Mungu. Ni laana ya watoto kujifunza mambo wanayoona na kusikia kutoka kwa wakwabwa wao.
 
Ndio msaada aliyopewa lissu na chadema european union. Watu wanapiga kelele dhidi ya ushoga msifikiri mambo yako poa. Hawa wamarekani na wenzao wa ulaya ya magharibi wameazimia kuharibu dunia kimaadili. Badala ya kuzubaishwa na misaada yao ambaxo wala haina tija tuchukue hatua kali kujihami.
Eti wanataka watoto wafundishwe aina zote za kujamiana kisha wachague wenyewe ndio demokrasia yao ya kiliberali. Kijana aweze kuchagua ushoga au binti usagaji baada ya kufunzwa.
Hebu angalieni hatari inayotukabili kama taifa.
Ushoga upo tu Miaka yote Kila mahali duniani, ni jukumu la Kila mtu kuifundisha jamii yake kujihami na hiyo tabia ila kuwatuhumu wapinzani bila ushahidi wowote Kwa sababu ya chuki zako sio sahihi.

Kumbuka hii tabia inaweza kuingia hata kwenye familia yako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umejiuliza swali la msingi! Hizi inaonekana ni tuhuma za mmoja wa wazazi ambaye mtoto wake kabanduliwa kuamua kushutumu shule kama taasisi. Hakuna namna “shule” inaweza kuwa inafundisha hii kitu!!

Shule zetu hazitoa elimu ya afya ya uzazi kwa hiyo hakuna kinachoweza kuzungumziwa. Wazazi tumeshindwa sana kujaza pengo hilo na mambo kama haya yakitokea tunalaumu taasisi!

Binafsi nawaambia vijana wangu kuwa natarajia wakue waoe na kuwa na wake!! Kuwa wawatoe wake zao out na wawanunulie zawadi! Matarajio yangu nayaweka kama malengo kwao, taratibu bila kuwahimiza wawe na mahusiano na wanawake!!! Wazazi tuchukue nafasi tunazopaswa kuzichukua kwa watoto, waalimu sio kila kitu!
Mkuu shida ni kwamba Wazazi wana jifanya wako busy sana kutafuta pesa na jukumu la kuea watoto limeachwa kwa Ma house Girl, Matron, patron na walimu, hii ni hatari sana
 
Vipi kuhusu yule
Mgombea urais wa kile chama ambacho asili yake ni mkoa huo, nae amezushiwa?
Sijui labda ulikuwepo eneo la tukio ukashuhudia.

Ushoga umejaa tele Dar, Tanga, Zanzibar hamuongei ila ngoja mtu mmoja tu kutoka Kilimanjaro ahusishwe na ushoga basi mnatukana wanakilimanjaro wote[emoji23]

Hakuna kitu kibaya kama chuki mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom