Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Jamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure
 
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana

Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa

Source ITV
Hii imekaa. Kipropaganda zaidi!! Nia huenda kuuwa umaarufu wa shule maeneo hayo. Ni vizuri uchunguzi ufanyike pia kwa vyanzo vya habari hizi!
 
Back
Top Bottom