Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tajeni shule na aina ya shule.
Uzi hauna nyama, kwamba mwalimu anasimama ubaoni anawafundisha huo upuuzi au?
Asante kwa info nilijua zote ..Sio shule zinazotumia mitaala ya kimataifa, sema shule zinazotumia mitaala ya Wazungu (European curriculums).
Yaani sasa hivi imekuwa kama fashion wanaume kulawiti wanawake bila kujali ni vimada au wake zao. Ukikuta mwanamke hajalawitiwa ujue Kagoma, au ana bahati kukutana na mwanaume mshamba, au mwenye hofu ya Mungu.Inasikitisha wakati mitaani watu wazima wanalawitiana kama hawana akili? Sehemu kama Dar asilimia kubwa ya wanaume wamewahi kulawiti wapenzi wao. Hii ni laana ya na itatuandama kwa muda mrefu.
Wachaga wataisha kwa kulawitiwa
Wewe upo kundi gani kati ya hayo uloyataja?Yaani sasa hivi imekuwa kama fashion wanaume kulawiti wanawake bila kujali ni vimada au wake zao. Ukikuta mwanamke hajalawitiwa ujue Kagoma, au ana bahati kukutana na mwanaume mshamba, au mwenye hofu ya Mungu.
Sio mshamba ila nina hofu ya Mungu. Lakini ukiongea vizuri na wanawake wanakiri haya, ama kama ni wanaume wanahadithia kama ni jambo la sifa.Wewe upo kundi gani kati ya hayo uloyataja?
Chuki zako Kwa wachaga hazitakusaidia chochote, sanasana wanazidi kunawiri tu kama shina la mgombaJamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure
Nakusikitikia Kwa kuamini huko ni salama. Kwa sasa watoto wanafanyiwa ukatili zaidi na kundi ambalo tuliamini sio la kufanya hivyo. Walimu, masheikh, wachungaji, mapadre wote hao sio salama kama unavyoamini. Siku hizi ni nadra kusikia kibaka kalawiti mtoto kuliko sheikh, mwalimu au mchungaji.Ndyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
Chuki chuki chukiHuu mkoa siku hizi ndo maana vitendo vya kishoga vimeshamiri. Kumbe huwa wanafundishana tangu utotoni. Na hata yule mgombea urais wa kile chama kinachotokea mkoa huu alikuwa ni supporter wa haya mambo. Hatari sana
Hatari sasa waziri hebu kabla hujasema fanya uchunguzi kimya kimya!Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana
Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa
Source ITV
How on earth can this happen ! Shule inafundisha wanafunzi kulawitiana ??? Tooooobaaaaa !! [emoji33][emoji33][emoji33]
Kwani mpaka hofu ya mungu? Wewe huoni tu kuwa sio kitu sahihi? Do you need god for that? why iwe about fear for you to do the right thing?Sio mshamba ila nina hofu ya Mungu. Lakini ukiongea vizuri na wanawake wanakiri haya, ama kama ni wanaume wanahadithia kama ni jambo la sifa.
Nilikuwa na dada mmoja mpenzi wangu kabla ya kuoa ambaye ni daktari wa kina mama, anasema wengi wakati wa kujifungua ameona tatizo hilo. Anasema kuna walioko kwenye hali mbaya kiasi kwamba wanaomba kujifungua kwa operation.
Chuki iko wapi hapo? Kuna chochote kilichozushwa?
Itakua ile MISKilimanjaro sehemu gani hiyo wanafundisha watoto wetu mambo hayo? Mungu atusaidie wachaga
Kamishna wa Elimu na Mwanasheria wa Wizara ya Elimu wameshaingia mkoani KilimanjaroHii imekaa. Kipropaganda zaidi!! Nia huenda kuuwa umaarufu wa shule maeneo hayo. Ni vizuri uchunguzi ufanyike pia kwa vyanzo vya habari hizi!
Hiyo shule una uhakika inamilikiwa na mchaga?Jamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure