Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Aina za Family wanazofundishwa huko intaneshno sculi...

Two dads and Children nayo ni aina ya Familia.
Screenshot_20230117_211037_com.android.gallery3d_edit_103368460569643.jpg
 
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana

Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa

Chanzo: ITV
Kweli Tumefika mbali
 
Kwahiyo Prof Mkenda ana chuki na Wachagga?

Samahani lakini
Elewa ninachosema, yeye kasikia tuhuma mlizozusha, Ili kuupata ukweli ndio kaunda hicho kikosi kuchunguza ukweli wa hizo tuhuma.

Ushauri tu: fanyeni kazi acheni uzushi wivu na majungu mwisho wake hua sio mzuri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijui labda ulikuwepo eneo la tukio ukashuhudia.

Ushoga umejaa tele Dar, Tanga, Zanzibar hamuongei ila ngoja mtu mmoja tu kutoka Kilimanjaro ahusishwe na ushoga basi mnatukana wanakilimanjaro wote[emoji23]

Hakuna kitu kibaya kama chuki mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu acha kukwepa hoja. Mgombea yule alisema anasupport ushoga. In his own words wala hakusingiziwa. Sasa sisi kazi yetu kuunganisha matukio. Chama anachotokea kilianzia mkoani huko kwenye hiyo shule ambapo taarifa zinaonesha vitendo hivyo vya wanaume kubanduana vimekithiri
 
Hujui tu. Bongo ushoga unaweza kuwa uko mbele kuliko France. Bongo watu ni wanafiki. Utasikia mtu anapiga kelele hadharani kulaani kumbe kesho anaenda kumlawiti mke wa mtu. Na laana ninayozunguzmia mimi siyo laana kutoka kwa Mungu. Ni laana ya watoto kujifunza mambo wanayoona na kusikia kutoka kwa wakwabwa wao.
Kaka umefafanua vizuri nimeelewa.uko sahihi
 
Jamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure
Kahh
 
Mwamba wa kaskazini upo nusu mlingoti
Wape elimu watoto wako wajue haya mambo sasa wewe shangilia hapa then uje ukute mtoto wako ndio anapumuliwa, Kuna kisa kimoja Arusha mama alikuwa anakandia sana ushoga anatamani hata mashoga wauwawe, ila siku moja akaja kugundua mtoto wake ni mpunga pia, mama hadi leo hii ameparalise, so fundiaha watoto wako, acha ushabiki
 
Internatiina school, Watoto wanaaambiwaga wawe wazi kama mvulana ana boy friend mwenzake awe wazi na kama msichana ana msichana mwenzake mpenzi pia wawe wazi, hawafundiswi live ila sema kuna freedom wanapewa,
Kuna ndugu yako anafanya ushoga Kwa siri hapa mjini sema su nimtaje hapa[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha kukwepa hoja. Mgombea yule alisema anasupport ushoga. In his own words wala hakusingiziwa. Sasa sisi kazi yetu kuunganisha matukio. Chama anachotokea kilianzia mkoani huko kwenye hiyo shule ambapo taarifa zinaonesha vitendo hivyo vya wanaume kubanduana vimekithiri
Hii unaijua?
IMG_20230117_211904.jpg
IMG_20230117_211834.jpg
 
Back
Top Bottom