luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Unasumbuliwa na chuki na wivu,Jamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure
Hakuna kitu kama hicho....hakuna mtu anachukia kabila zima la mtu...
Umeona mbali saana. Soma post zangu hapo. It is still a hidden agenda!Yale yale kama ya kipindi kile cha ubakaji.
Kuna shida mahali kwa sababu hizi taarifa zinakuwa zinaripotiwa na chombo kimojo tu cha habari. Kwa nini hizi taarifa haziripotiwi na TBC? TBC huwa hawazipati? Na kama huwa hawazipati, kwa nini?
Hili swala mimi nimeshalilalamikia tangu kipindi kile cha wanafunzi kulawitiwa, halafu baadhi ya ,ashuhuda wa tukio wakawa wanaongea huku akiwa wamejifumika Kanga usoni. Ni mtanadao uko connected na watu wako mahali fulani napafahamu, wanatengeneza loopholes za kurusha mapepoUmeona mbali saana. Soma post zangu hapo. It is still a hidden agenda!
Mkuu, na declare wazimimi ni Southerner. Ila kuna kitu hakiko sawa. Ukiangalia miziki inayorushwa na TV zote nchini ikiwwpo TBC, ni nje kabisa ya maadili ya Kitanzania. Ukisafiri kwenye mabasi ni the same eti ni ya kizazi kipya! Dar kwenyewe kuna maeneo yanasemekana ni special kwa watu kufanya ufuska, kujiuza nk tena watoto wadogo. Mwanza kuna sehemu kama Villa Park nk. Arusha nako ni yaleyale. Who cares!!!? Tunashangaa nini watoto wadogo kuiga uhovyo huo? Ningependa sana Waziri atakapohitimisha uchunguzi, waliokuwa trainers tupate asili na mrengo wao. It is ulikely hawatoki Kilimanjaro. Na endapo ni kweli kuwe na colllective effort uchunguzi ufanyike nchi nzima.Hakuna kitu kama hicho....hakuna mtu anachukia kabila zima la mtu...
Mtu anaweza kuwa anakerwa na tabia zenu tu lakin sio kuwachukia.....
Halafu wachaga mna haya mambo ya kupenda sympathy na kuonesha kuwa mnaonewa na hampendwi kùmbe nyie ndo hampendi watz wengine...
Mnakumbuka mnasema magufuli alikuwa hapendi wachaga...lakin mkiambiwa mtoe proof haipo...yaan mtu hawapendi halafu aifufue reli ya kasikazini, ajenge daraja la wami nk nk...
Angewatukana je..kama alivyowatukana watu wa bukoba na matetemeko?
You feel insecure...au kutakuwa kuna vitu mnavifanya sio halali...mnajihisi hatia...so mnatafuta sympathy...
Umewahi pitia hii kitu?
Chuki binafsi kwa wachaggaHiyo shule una uhakika inamilikiwa na mchaga?
Nako cyo salama anaweza lawitiwa na sheeNdyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
LGTB ndio nn kirefu chakeSio kweli!!
Sema Kuna tetesi zile shule za international zinazotumia mitaala ya kimataifa kuanza kufundisha hilo somo la LGBT kama wanavyofanya watu wa nje..
View attachment 2485068