Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Wala usiumize kichwa, mbona rahisi tu. Unachotakiwa kuwasaidia ni kwenda kuwaonyesha hayo makaburi au ndugu wa marehemu.
 
Waziri anakanusha kovidi ila yuko busy kujifukiza namumewe na anapost kwenye official social media za wizara wakati ni maisha binafsi maana anafanya huo hayo maujinga na mumewe,yeye yupo sahihi? Nchi imekuwa ya mambo ya hovyo hovyo tu
 
Ukiona serikali imeandika barua ndefu ujue kuna jambo so inajitetea tu.
 
Wanasema upo ni baada ya uchunguzi wa kitalaamu, lakini pia wanakanusha vilevile baada ya uchunguzi wa Kitalaamu, sasa wewe unataka waseme upo hata kama watu wanarogana? Unakuwa lipinzani lililovaa miwani myeusi siyo?
 
Hata Bongo flavor wawe makini na hizo nyimbo!
 
kwenye burudani napo wanafungiwa si umeona gigy mane alichomoa waya
 
Mimi naona mamlaka ndio zmeongeza taharuki kwa wananchi wenye akili....lakin zmeondoa taharuki kwa wananchi viazi kama wewe
 
Ukiona hivi, nguvu nyingi inatumika kukanusha, ujue kuna kitu wanakijua ila wanafanya jitihada kukificha. Diwani, tena wa CCM asingethubutu kutangaza uwepo wa ugonjwa huo akiwa na nia mbaya wala bila ugonjwa wenyewe kuwepo.
 
Wanasema upo ni baada ya uchunguzi wa kitalaamu, lakini pia wanakanusha vilevile baada ya uchunguzi wa Kitalaamu, sasa wewe unataka waseme upo hata kama watu wanarogana? Unakuwa lipinzani lililovaa miwani myeusi siyo?
Tarifa za magonjwa ya kurogwa yanawaponza Itv na hao watu wako
Huu uchunguzi wako ukatambua wanalogana umeufanyia wapi? nyie kenge hamsikii, halafu mnaamini ushirikina sana ndio maana mambo ya kisayansi hamyataki.
 
Huu uchunguzi wako ukatambua wanalogana umeufanyia wapi? nyie kenge hamsikii, halafu mnaamini ushirikina sana ndio maana mambo ya kisayansi hamyataki.
Pumbuvu wewe, na hiyo sayansi yako ilianza baada ya sayansi ya kichawi kuwepo!

Elewa Sana jinga wewe! Serikari ya kijinga inayopelekeshwa na mtu kama wewe hsipo, mbuzi mkubwa wewe, ulifikiri baada ya wewe kuleta tarifa za kipumbavu basi na Serikali ikubaliane na wewe? We jitu la wapi? Ebooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…