Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

millard ayo nae achukuliwe hatua sio itv peke yao
 
Mchawi umepandisha pepo, na serikali yako ya wachawi nayo ikisikia habari za sayansi inapandisha mapepo kama wewe.
 
Mchawi umepandisha pepo, na serikali yako ya wachawi nayo ikisikia habari za sayansi inapandisha mapepo kama wewe.
Huna hoja nimekupuuza rasimi!

Serikali ni chombo kilichojiwekea utaratibu, si kila mtu anaweza kuwa msemaji wa mambo ya Serikari na hata hizo wizara zina utaratibu, kunaanayetakiwa atoe tarifa za wizara na si kila mtu anaweza kuwa msemaji, Pumbavu elewa Sana!!
 
Jambo lolote linaloweza kuleta taharuki, ni Lazima tarifa zake ziwe zimetolewa na wizara husika ama msemaji husika wa serikali

Kwa hiyo wao mganga mkuu ndio msemaji wa serikali na wizara husika??
 
Mungu ni Mwema Wakati Wote.

Haki Huinua Taifa Bali Dhambi ni Aibu Kwa Watu Wote
 
Huyo Mganga mkuu hajui Miiko na mipaka ya kiuongozi

Itakuwa kasahau kilichomkuta Mwele Malecela alipotangaza mambo ya Zika

Viongozi wa ngazi za chini wanapswa kusoma sana majukumu yao na mipaka yao ya kiuongozi
 
Wazee wa kuficha ficha
 
Madaktari wa hivi sijuhi hata vyuoni walikuwa wanasomea nini......kuripoti mlipuko wa ugonjwa kwenye media sio sawa na kurusha udaku facebook!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…