Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

Unataka kuwabebesha zigo wapinzani. Si ilikuwa inasemwa kwamba jamaa ana akili sana? Ilikuwaje kuambiwa jambo lisilo la kweli halafu akaliamini?

Kuna bandiko humu la Pascal Mayalla kuhusu mkopo wa Gesi kwamba tutalipa asilimia 20 za utangulizi na 80 italipwa kwa miaka 80 kila mwaka asilimia moja na hapo deni halisi halijalipwa.
Aliwapenda sana wapinzani, japo wao hawakumwelewa wakawa wanamtukana na hatimae mwishowe nae akaamua kuwa displine,

Lakini idea za upinzani alianza kuzi implement mara tu aliposhika madaraka,
Mfano kumwachia babu seya.

Kununua ndege hili wapinzani walimponda mno jk eti ameshindwa kufufua ATCL,, mwendazake alipoingia tu akaanza kununua ndege wapinzani wakamponda tena eti ndege si lazima😂.

Haya wapinzani walisema enzi za JK kuwa Dr. Dau ni fisadi sana hafai, 😂,mwendazake alipoingia tu akamtoa,,
Wapinzani walidai enzi za jk, kuwa Rugemalila na singer wa PAP ni wezi, mafisadi sana, wamepewa pesa za umma bure na wakazigawana kwenye sandalusi,, mwendazake alipoingia tu madarakani akawakamata na kuwaweka ndani, wapinzani wakasema enzi za jk,, magisadi wamekuwa wengi mno, inatakiwa mahakama ya mafisadi😂🙆🏻‍♀️,mahakama ilijengwa , japo ndo hivyo tena,
Mifano mingi tu mbona
 
View attachment 2398070

Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao.

Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na NSSF mwaka 2014 ulisimama tangu Januari 2016 ukidaiwa kufisidi zaidi ya Sh179 bilioni hivyo kutokamilika kwa nyumba za kifahari, hoteli, maduka makubwa, eneo la wazi la mapumziko, baa, shule, hospitali, kumbi za mikutano, nyumba za ibada na migahawa.

Taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba na kusambazwa Jumanne Oktoba 25 imetangaza kutafutwa kwa mzabuni atakayeuendeleza mradi huo.

“NSSF inakusudia kuuza mradi mzima wa Dege Eco Village, shirika halitowajibika tena baada ya mauzo haya. NSSF inakaribisha zabuni zilizofungwa kuununua mradi huu kwa viwango vya kimataifa vilivyoainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma zilizochapishwa kwenye gazeti la Serikali namba 446,” inasomeka sehemu ya taarifa ya NSSF.

Kwa wawekezaji watakaovutiwa kuuendeleza mradi huo uliosimama kwa miaka saba sasa, NSSF imesema wanaweza kuutembelea huko Rasi ya Dege iliyopo Kigamboni jijini hapa ili kuukagua na kujiridhisha na mandhari yake kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana wa Novemba 3.

Zabuni zote, shirika hilo limesema zinapaswa kuwasilishwa mpaka Novemba 14, saa 9:00 alasiri kabla hazijafunguliwa mbele ya waombaji wote watakaokuwa wamejitokeza kwenye ukumbi wake uliopo ghorofa ya saba katika Jengo la Benjamin William Mkapa.

View attachment 2398094

Pia, soma=> Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni
Tokea lini Serikali ikakwama.. kwanini wasiingie ubia wa 50% ya umiliki..
Na sio kuuza mradi?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Aliwapenda sana wapinzani, japo wao hawakumwelewa wakawa wanamtukana na hatimae mwishowe nae akaamua kuwa displine,
Lakini idea za upinzani alianzq kuzi implement mara tu aliposhika madaraka,
Mfano kumwachia babu seya.
Kununua ndege hili wapinzani walimponda mno jk eti ameshindwa kufufua ATCL,, mwendazake alipoingia tu akaanza kununua ndege wapinzani wakamponda tena eti ndege si lazima😂.
Haya wapinzani walisema enzi za jk kuwa Dr Dau ni fisadi sana hafai, 😂,mwendazake alipoingia tu akamtoa,,
Wapinzani walidai enzi za jk, kuwa Rugemalila na singer wa PAP ni wezi, mafisadi sana, wamepewa pesa za umma bure na wakazigawana kwenye sandalusi,, mwendazake alipoingia tu madarakani akawakamata na kuwaweka ndani, wapinzani wakasema enzi za jk,, magisadi wamekuwa wengi mno, inatakiwa mahakama ya mafisadi😂🙆🏻‍♀️,mahakama ilijengwa , japo ndo hivyo tena,
Mifano mingi tu mbona
Duniani kuna makampuni kibao ya kuendeleza miradi ya gas na mafuta.

Kwanini serikali ya Tanzania ilikuwa aina uwezo wa kutafuta wawekezaji wengine zaidi ya kuingia mkataba na Shell na Equinor tu huko Mtwara? Ndio uelewe gas ilishauzwa (ukishampa mtu kibali cha kufanya exploration anabakia na exclusive right za kufanya extraction pia)

Halafu swala la kufufua shirika la ndege lilikuwa kwenye ilani ya uchaguzi wa CCM 2015 aliyokabidhia mgombea uraisi.

Mkisha kunywa mataputapu yenu mnakuja kuandika tu mambo yaliyo vichwani; hivi unadhani raisi wa Tanzania ni gullible kama ulivyo wewe afanye maamuzi kwa kuokota hadithi za mtaani.
 
Mradi wa gesi ni multibilion dola project, siyo mtu yeyote anaweza kuuendesha, Israel waligundua gesi kabla yetu, na mpaka sasa hawaijanza kuuza ndio wameweka rig baharini na wao technology hawakuwa nayo inabidi mwekezaji achimbe.

Msumbiji tulianza nao, wamesonga mbele japo bado hawajawa operational, hizi project hata mchina hawezi endesha, kuna makampuni maalumu ambayo yako exprienced na kazi hizo, na siyo mengi.
 
Mradi wa gesi ni multibilion dola project, siyo mtu yeyote anaweza kuuendesha, Israel waligundua gesi kabla yetu, na mpaka sasa hawaijanza kuuza ndo wameweka rig baharini,, na wao technology hawakua nayo nabidi mwekezaji achimbe,,
Msumbiji tulianza nao , wamesonga mbele japo bado hawajawa operational,, hizi project hata mchina hawezi endesha, kuna makampuni maalumu ambayo yako exprienced na kazi hizo,na siyo mengi
Rudi kwenye hoja yako ya awali unadai Magufuli aliacha majadiliano LNG na mradi wa Kigamboni kwa sababu ya kusikiliza chadema

Na uongo wa Magufuli upo wapi aliposema vitalu vina wenyewe tayari serikali aiwezi kuingia mkataba na watu wengine; wala kujenga pekee vimeshauzwa.

Je uongo vitalu vilishauzwa tayari?

Kufufua shirika la ndege sio mpango wa ilani ya uchaguzi wa CCM 2015?

Au unaweza kutuelezea faida ambayo ingepatikana kwenye mradi wa Kigamboni?

Hayo mengine unayotaka kuleta yatafutie mada yake. Hapa tunataka tuweke uongo wako sawa kwanza.
 
Vitalu, upinzani walidai kapewA mchina kama fine ya riz kushikwa china, Uongo.
Mradi wa gesi ulisita baada awamu ya tano kuingia,
Kigamboni hiyo ni Real estate business, kwa wakati wa jk uchumi ulikua juu kiasi kwamba huo mradi ungelipa,, nenda dubai uone jinsi Real estate business inavyolipa,
ATcl ilikua katika ilani, implementation ilikuwa influenced na hoja za upinzani🤷🏼‍♂️
 
Vitalu , upinzani walidai kapewA mchina kama fine ya riz kushikwa china, Uongo.

Cha msingi ni kuelewa jukwaa la siasa JF sio Twitter au mjadala wa kioski cha kahawa ambapo unaweza jiongolea tu.

Wewe umesema Magufuli alifuata makelele ya CDM kwenye gas na kuacha mradi na kurudia kauli zao.

Kwa ivyo unadhani raisi wa nchi hajui historia ya kila kitalu toka alieshinda exploration bid na chain nzima ya waliouzina hadi hivyo vitalu kuishia kwenye mikono ya Shell na Equinor?

Halafu ni lini China iliwahi bid kitalu cha gas Tanzania? Mpaka Magufuli asikilize huo utoto?

Mradi wa gas kwa mtu mwenye akili timamu sio wa kukurupuka LNG walianza gharama zake zitakuwa $25 billion, ikaja $30 sasa hivi $40 billion, hivi unajua hiyo hela ya mwekezaji inavyorudi ama unaropoka tu Magufuli alichelewesha mradi.

Unafahamu financial technicalities za hizo negotiations ungekuwa unaelewa wa hayo mambo hakuna ata siku moja nchi itaingia majadiliano kwa kubembeleza wawekezaji; let alone kumteua mtu kama January kama spearhead wa kuweka mambo sawa.

Unadhani hiyo mikopo inayopewa Tanzania na IMF/WB kwa miradi isiyo na commercial return au ku boost economy hizi siku za karibuni ni bure; fanya research yako chances are utakuta fundings zinatolewa na hao hao wawekezaji kwenye Gas nyuma ya pazia wa kuongezee debt liability bila ya wewe kujua. Ukishaelemewa na madeni uone resources zako ambazo uzitumii kama nishati imekaa bora ufanye haraka mradi uanze upate mapato wakati negotiations skills za kupata mkataba bora zaidi ya kusikiliza utumbo wa mtu kama Zitto Kabwe.

Hayo ya nyumba za NSSF wala siyo ya kuongea nyie watu mnadhani pension funds zina luxury ya kujiwekezea tu; ingekuwa rahisi ivyo kusingekuwa na regulatory laws za uwekezaji wake duniani kote; kama ilivyo rahisi kwa financial institution zingine kama banks.

Samahani kama nitakukwaza ila ni watu wenye upeo mdogo tu ndio walishindwa kumuelewa Magufuli.
 
Upinzani ndiyo ulikuwa unakusanya kodi?
 
Naona unaanza ku catch feeling😂,hebu sasa kama unajua vizuri elezea watu kwanini mradi wa gesi mtwara ulisimama, kwanini bagamoyo port ilisimama, kwanini miradi yote alioacha JK ilisimama na kwanini basi miradi ya jpm inaendelezwa😕,
Ujue upbringing nayo inachangia pia,, kuna watu wenye mioyo mieupe na wasio na nyoyo nyeupe pia, so figure it out for yourself
 
Wala hata hunikwazi bro,, tunajua nyie watu nyoyo zenu zikoje, na tunajua tabu wananchi wamepata sababu yenu🤷🏼‍♂️
 
Ni kwa sababu za kibiashara tu Magufuli aliikuta Tanzania kama shamba la bibi.

Halafu JK usimzushie alipoona mkataba wa Gas aulewi alisema wazi huo namwachia mtu mwingine. Mpaka anatoka serikali yake aikuwahi kukaa kwenye majadiliano na wawekezaji zaidi ya kuwatengea eneo la mradi na hilo lilikuwa ni jukumu la serikali.

Magufuli nae akutaka kukurupuka kama nilivyokwambia hayo mambo yanataka udenguaji kila mtu anataka apate maximum returns na negotiations ni tactics.

Kuhusu mradi wa Bagamoyo umeshaelezewa sana TPA aitaki some aspects za mradi mchina anazowalazimisha kama sehemu ya package ya mradi wote (wanataka sehemu zingine afanye mwenyewe) na duration ya mkataba wa mavuno mchina anayotaka ni ya muda mrefu wakati hela yake inarudi mapema sana.

Tatizo lenu mna bias listening hata pale mnapokuwa mnafafanuliwa jambo na serikali amsikilizi kwa sababu akili zenu zimesha amua kuamini whatever nonsense tayari.

Upbringing inachangia sana tazama hawa maskini wanaotuongoza leo wakikosolewa tu utasikia wivu; that says a lot about their fatalism thinking towards life.
 
Umeshasikia ile hadithi ya mfalme na mabinti wawili waliofanana mmoja princess kweli na mwingine kijakazi, kila mmoja akidai yeye ndio princess.

Solution yake kumjua nani princess ilikuwa kuandaa banquet halafu katikati zima taa ukiwasha ghafla anaefakamia mikuku kama mshamba ndio kijakazi.

Ni hivi kutokana na tabia zenu za fatalism na accusation; psychological amuelewi vibes zipi mnazotoa. Lipo wazi aina ya malezi yenu.
 
Naona vita kubwa naona tunamrushia aliyesimamisha mradi na aliyeanzisha mradi lakini naona shida ya miradi hii mingi kuna shida ya taarifa sahihi hasa lengo kuu la mradi,utekelezaji na matokeo ya mradi ambapo yote hayo yamejificha chini ya RUSHWA.
Wana jamvi eee
1.Hivi miradi yenye asili hii inapaswa kutekelezwa kwa NSSF pekee?
 
Ni kwa sababu za kibiashara tu Magufuli aliikuta Tanzania kama shamba la bibi.

Halafu JK usimzushie alipoona mkataba wa Gas aulewi alisema wazi huo namwachia mtu mwingine. Mpaka anatoka serikali yake aikuwahi kukaa kwenye majadiliano na wawekezaji zaidi ya kuwatengea eneo la mradi na hilo lilikuwa ni jukumu la serikali.

Magufuli nae akutaka kukurupuka kama nilivyokwambia hayo mambo yanataka udenguaji kila mtu anataka apate maximum returns na negotiations ni tactics.

Kuhusu mradi wa Bagamoyo umeshaelezewa sana TPA aitaki some aspects za mradi mchina anazowalazimisha kama sehemu ya package ya mradi wote (wanataka sehemu zingine afanye mwenyewe) na duration ya mkataba wa mavuno mchina anayotaka ni ya muda mrefu wakati hela yake inarudi mapema sana.

Tatizo lenu mna bias listening hata pale mnapokuwa mnafafanuliwa jambo na serikali amsikilizi kwa sababu akili zenu zimesha amua kuamini whatever nonsense tayari.

Upbringing inachangia sana tazama hawa maskini wanaotuongoza leo wakikosolewa tu utasikia wivu; that says a lot about their fatalism thinking towards life.
Sababu za kibiashara kama zipi hizo?, Tulishaambiwa hadi mgao TPDC watapata percent ngapi, na walikuwa wawe na mgao sawa na mwekezaji,, tuambie sababu zipi zilifanya mradi wa gesi mtwara usimame
 
Nani alikwambia TPDC ilikuwa ipate sawa na mwekezaji? Wakati ndio kwanza serikali bado ipo kwenye majadiliano.

Hivi unafahamu ata hiyo $40 billion dollars inavyorudishwa kwanza au unatupigia kelele wakati ata abc za investment hujui.
 
Hapana, JPM alitaka kuwashughulikia walioufisadi bahati mbaya akatutoka. Kwa sasa mafisadi wamerudi na wanataka wajiuzie wao ili waendeleze kunufaika hao mafisadi
JPM alikua ni kinara wa ufisadi yaan fisi amshughulikie fisi mwenzake ulishaonaga wapi
 
Back
Top Bottom