Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Aliwapenda sana wapinzani, japo wao hawakumwelewa wakawa wanamtukana na hatimae mwishowe nae akaamua kuwa displine,Unataka kuwabebesha zigo wapinzani. Si ilikuwa inasemwa kwamba jamaa ana akili sana? Ilikuwaje kuambiwa jambo lisilo la kweli halafu akaliamini?
Kuna bandiko humu la Pascal Mayalla kuhusu mkopo wa Gesi kwamba tutalipa asilimia 20 za utangulizi na 80 italipwa kwa miaka 80 kila mwaka asilimia moja na hapo deni halisi halijalipwa.
Lakini idea za upinzani alianza kuzi implement mara tu aliposhika madaraka,
Mfano kumwachia babu seya.
Kununua ndege hili wapinzani walimponda mno jk eti ameshindwa kufufua ATCL,, mwendazake alipoingia tu akaanza kununua ndege wapinzani wakamponda tena eti ndege si lazima😂.
Haya wapinzani walisema enzi za JK kuwa Dr. Dau ni fisadi sana hafai, 😂,mwendazake alipoingia tu akamtoa,,
Wapinzani walidai enzi za jk, kuwa Rugemalila na singer wa PAP ni wezi, mafisadi sana, wamepewa pesa za umma bure na wakazigawana kwenye sandalusi,, mwendazake alipoingia tu madarakani akawakamata na kuwaweka ndani, wapinzani wakasema enzi za jk,, magisadi wamekuwa wengi mno, inatakiwa mahakama ya mafisadi😂🙆🏻♀️,mahakama ilijengwa , japo ndo hivyo tena,
Mifano mingi tu mbona