Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

So wanataka akasomee nini tena? kwanini asipewe course fupifupi za kuboresha anachokifanya? Sifa nyingi za kuajirika serikalini ni outdated. Huyo tayari ni skilled kwa hicho anachokifanya. Hivi waafrika alieturoga ni nani? Tunaamini zaidi kwenye vyeti(makaratasi) kuliko ujuzi halisi!!
 
Ni wachache sana watakuelewa!
Kwa kifupi mtoto njiti hajakomaa hii ni pamoja na kinga pia.
Sitaki kwenda mbali kuhusu tahadhari kuzuia magonjwa kutoka kwa huyu mama kwenda kwa hao njiti kama zinafuatwa.
Anyway twende tu..
Nilitaka liweka hilo swala hivyo.

Sasa itaonekana ni mtindo watu watavamia hospital na kuanza beba watoto njiti, bila kujua wengine wana TB na magonjwa mengine ambukizi.
 
Kuna makala niliwahi kuangalia, ilisema kwa watoto njiti joto linalofaa zaidi ni la mwanadamu, linasaidia kwa haraka kuliko hizo incubator, sasa mnaomnanga huyu dada hebu tafuteni maarifa msiwe mnakurupuka tu
 
Anastahili pongezi hatukatai,,, lakini pia watu inabidi wawe wanawaza outside the box wajue namna ya kuboresha mfumo unaotumika...I don't think kama ataweza kukumbatia watoto wote pale muhimbili pekeyake
 
Ni wachache sana watakuelewa!
Kwa kifupi mtoto njiti hajakomaa hii ni pamoja na kinga pia.
Sitaki kwenda mbali kuhusu tahadhari za kuzuia magonjwa kutoka kwa huyu mama kwenda kwa hao njiti kama zinafuatwa.
Anyway twende tu..
Shida watu hawapendi kuwaza mbali
 
Kuna makala niliwahi kuangalia, ilisema kwa watoto njiti joto linalofaa zaidi ni la mwanadamu, linasaidia kwa haraka kuliko hizo incubator, sasa mnaomnanga huyu dada hebu tafuteni maarifa msiwe mnakurupuka tu
Yah!!!....
Niliwahi kisoma mahali pia...
Inasemekana joto la Binadamu linasaidia kwa haraka kuliko incubators...

Wanaomnanga si unatujua tena Binadamu sisi na wivu....Yale yale ya Majaliwa...
 
Umekurupuka.
Wataalam wanasema joto la binadamu ni bora kuliko mtambo.
Ndani ya 24hrs linaleta matokeo mazuri.

Pili...huyo mama kajiongeza naipongeza wizara kumpa ajira.
Ni jukumu la serikali kuwapa ajira watu wake.

Angekuwa mzungu hapa ungemsifia sana
Tatizo lenu ujuaji sana,
 
Exactly [emoji817].....unajua watu wanachulia mambo kirahisi sana..ukisema wanasema sijui una roho mbaya ...ooh acha wivu....
Serikali inakurupuka sana. Na aliyerekodi naye amekurupuka, sasa watu wataanza jipeleka kufanya hivyo mwisho watoto watakufa au ambukizwa magonjwa ya ajabu
 
Anastahili pongezi hatukatai,,, lakini pia watu inabidi wawe wanawaza outside the box wajue namna ya kuboresha mfumo unaotumika...I don't think kama ataweza kukumbatia watoto wote pale muhimbili pekeyake
Sidhani kama lengo ni kukumbatia watoto wote.
Akiokoa hata maisha ya watoto wawili kwa mwaka inatosha sana.
 
Haya kwa wale wavivu wa kusoma.

Kangaroo mother care started immediately after birth critical for saving lives, new research shows
Immediate kangaroo mother care for preterm and low birthweight babies requires dedicated Mother-Newborn Intensive Care Units
  • Kangaroo mother care, which involves skin-to-skin contact and exclusive breastfeeding, significantly improves a premature or low birthweight baby’s chances of survival
  • Starting kangaroo mother care immediately after birth has the potential to save up to 150,000 more lives each year, compared with the current recommendation of starting it only once a baby is stable
  • Mother-Newborn Intensive Care Units (ICUs) will be critical to support the mother, or a surrogate, in providing this immediate, ongoing skin-to-skin contact from birth.
The results of a new clinical trial published today in the New England Journal of Medicine, show that immediate kangaroo mother care, which involves skin-to-skin contact with the mother and exclusive breastfeeding, started as soon as a preterm or low birthweight baby is born, dramatically improves survival.

Current World Health Organization (WHO) recommendations indicate starting kangaroo mother care only after the baby is stabilized in an incubator or warmer, which can take on average 3-7 days. This new study suggests that, when compared with the existing practice, starting kangaroo mother care immediately after birth can save up to 150,000 more lives each year.

“Keeping the mother and baby together right from birth with zero separation will revolutionize the way neonatal intensive care is practiced for babies born early or small,” said Dr Rajiv Bahl, Head of the Newborn Unit at WHO, and the coordinator of the study. “When started at the soonest possible time, kangaroo mother care can save more lives, improve health outcomes for babies and ensures the constant presence of the mother with her sick baby.”

The results of the immediate kangaroo mother care study indicate the need for a global paradigm shift in the care of small babies with zero separation of babies from their mothers by having dedicated Mother-Newborn ICUs. “The best way to nurture the newly born low birthweight baby, including in high-income countries, is through ongoing skin-to-skin contact with the mother, in a mother-newborn couplet care unit that provides care and medical treatment for both,” said Dr Bjorn Westrup, of the Karolinska Institute, Sweden, and a technical expert for the study.

Kangaroo mother care is already known to be effective, reducing mortality by 40% among hospitalized infants with a birth weight less than 2.0 kg when started once they are clinically stable. However, this important new study provides new evidence to show a further 25% reduction when it is initiated immediately after birth, either with the mother or a surrogate.
 
Back
Top Bottom