Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

JamiiForums-1701649393.jpg
Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
I see, siyo sawa. Hata Simba nako wapeleke mashabiki 40. Siyo vizuri kupendelea, hizi timu zinawskilisha nchi yetu wote.
 
Yanga mchakato wa kwenda Kwa bus south Africa ulikuwepo ivyo serikali imegandamizia tu mstari Kwa kuamua kuwalilipia. Watu 30 walishachanga nauli wao watarudishiwa na wengine 18 wataongezwa. Simba mpango wa bus kwenda Misri hata haupo ivyo sio upendeleo ni kuunga mkono juhudi za mashabiki na uongozi wa Yanga
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Simba na Yanga ni mali ya Serikali, nyuma ya mafanikio yao kuna mkono wa Serikali.
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Mmeshatoka nyie Mbumbumbu a.k.a Rage FC nani aingie gharama kujishgulisha nanyi na michezaji yenyewe mizee ile?😀😃😄😁😆😅🤣😂
 
Kweli ushabiki ni mapenzi, na mapenzi ni kama upofu.

Yaani Simba wanaamini kabisa wanaenda kuwatoa Ahly? Bora hata Yanga wana nafasi.
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
 
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Ushindi siyo possesion, ushindi ni trategy, unaweza ukaachiwa umiliki mpira na ukafungwa.

Yanga ana uwezo wa kupata goli kule na akawa na faida ya goli la ugenini.

Na wewe DR kumbe ni shabiki kindakindaki?
 
Yanga wanastahili, Shabiki wa Simba unaenda Misiri kufanya nini?

Una uwezo wa kushinda goli mbili kule?

Yanga akitoa draw ya magoli ameenda...

Serikali iko sahihi kuweka nguvu huko.
 
mimi siniliwakataza ushakunaku wa nchi yenu kuwa hakuna swala la solidarity
 
Ushindi siyo possesion, ushindi ni trategy, unaweza ukaachiwa umiliki mpira na ukafungwa.

Yanga ana uwezo wa kupata goli kule na akawa na faida ya goli la ugenini.

Na wewe DR kumbe ni shabiki kindakindaki?
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..
 
Back
Top Bottom