Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Yanga wanastahili, Shabiki wa Simba unaenda Misiri kufanya nini?

Una uwezo wa kushinda goli mbili kule?

Yanga akitoa draw ya magoli ameenda...

Serikali iko sahihi kuweka nguvu huko.
Na sisi Tunaweza kumfunga Goli moja Ahly kwao..
Maana tumewahi pia kumfunga kwao..
 
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..
Changamoto inakuja kwamba, Ahly ni wazoefu sana, halafu waarabu wana kasumba ya kufanya hata figisu ili tu wasifungwe kwao..

Hiyo ndio shida.
 
Wewe Mandandu usimwite dogo DR bhana hebu kuwa na adabu. DR msamehe bure.
Achana Naye Huyu Zee la Mandandu
Ni Mtoto wa Kike tena mwenye Umri miaka Chini ya 40 halafu Anakuwa Ananiita Dogo..
Halafu kaanza kule kwenye Jukwaa la Intelligence naona kaamia huku

nisaidie kumuuliza Ameshapata Mume
Screenshot_20240401_140852_Chrome.jpg
 
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..
kimkakati al ahly alikuja kutafuta sare ushind haukuwa kipaumbele chake ndo mana uliona mda mwingi wanakabia chini..Possesion alizozifanya simba asitarajie kule atazifanya pia kifupi simba ameshatolewa ajipange next time
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Kama ulikuwa hujui serikali ina mkono kwenye mafinikio ya timu kubwa hapa nchini. Lakini pia inaangalia team ipi yenye uelekeo
 
Wala siyo upendeleo mtoto mwenye bidii ndiyo wakumpongeza.Ukisafirisha mashabiki wa Simba kwenda Misri wanakuwa wameenda kutalii TU wakati washatolewa.Tena serikali ingeongeza mashabiki zaidi ya hapo."Yanga kwanza Simba baadae"
 
Labda maajabu yatokee maana mpira una maajabu yake...

Kuna wakati Chelsea mbovu iliwahi kumtoa Barcelona ya moto...

Tusubiri maajabu ila kwenye issue ya uwezo lazima tukubali uwezo hatuna...

Tufanye usajili mzuri tuache janja janja.
Kweli shida la Simba ni Uongozi
 
Ombeni kwa serikali kuwapeleka Mashabiki wenu Makolo Kairo kwa basi.
Barabara ipo tena ni lami tu
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Wanaolipiwa ni wale walioonyesha ushiriki kwa kulipa kabla. Na nyie lipeni kwanza
 
I see, siyo sawa. Hata Simba nako wapeleke mashabiki 40. Siyo vizuri kupendelea, hizi timu zinawskilisha nchi yetu wote.
Yanga waliiomba serikali kwa maandishi ,serikali imejibu kwa maandishi .
Shida ya Simba ni uongozi usio na ubunifu. Chifu Mangungo yupo yupo tu na mashabiki mbumbumbu.
Injia Hersi ana akili sana huyu kijana.
 
Back
Top Bottom