Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
sio yaonyesha ni yaonesha
 
Kati ya vitu ambavyo serikali imefanikiwa ni kuwateka watanzania kupitia Mpira.
Kama yanga waliweza kuingiza mashabiki bure kwanini wagombea msaada serikalini
Hapo wanayanga.wanachekelea Kodi za watanzania zinavyotumika vibaya.
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Lia na machozi kabisa
 
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Mpira wa kileo siyo possession Bali kucreate chansi za magoli ingekuwa hivyo Jana mancity kapossess 78 kwa 22 za Arsenal ila Arsenal katengeneza nafasi 6 za hatari tofauti na mancity alitengeneza nafasi 2. Kwa akili yako basi Jana Arsenal angekula chuma zaidi ya 6 kwa possession za City.
 
itakua imeona ikawape sapoti ya ushangiliaji Yanga ili ishinde hata kagoli kamoja, ila imeshindwa kupeleka watu Misri kushangilia goli linavyorudishwa....
Labda namba tisa acheze Ngungus Boy goli ndio litarudi.
 
Back
Top Bottom