Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
serikali ni ya CCM na Yanga ni timu ya CCM,ubaya uko wapi serikali ya CCM kuhudumia timu yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalalamika bila kujua jitihada zimefanywa na uongozi wa Yanga wenyewe kuomba kwa serikali je viongozi wenu wa Simba walifanya hizo jitihada wakakataliwa? Nanukuu maneno ya Eng Hersi Saidi [emoji116]Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Simba hawana ubunifu; Kwenye safari ya kwenda Misri hawakuandaa mashabiki wakati Yanga ilianza kuandaa safari ya mashabiki hata kabla ya mchezo wa Lupaso. Halafu hili la Yanga kjuiomba serikali isaidie, Ombi kuu la Yanga lilikuwa ni kuwasaidia passport wale mashabiki waliokuwa wamelipa lakini hawana passport; maongezi hayo ndiyo yakaunganisha na uwezekana wa kusaidia sehemu ya gharama za kuwasafirisha.Waambie ukweli!
Hiyo kazi ya kuomba support ya Serikali... Timu yoyote inaweza kuomba! Hata ihefu...
Ndio kazi ya kitengo cha habari na mawasiliano... Labda masharubu hawalijui hilo!
tulia panadol ikuingie kolo weweImefikia Sasa tumekuchoka. Umeshindwa kuficha Ushabiki wako hâta kidogo?
Kitendo cha kusafirisha Mashabiki wa Yanga kwenda South Afrika ni kitendo cha hovyo sana.
Msimu uliopita Rais Samia alitoa Ndege ya Serikali kusafirisha timu yake ya Yanga.
Kisha akaibeba timu yake kwenda nayo Malawi.
Sasa leo Simba imeachwa na kupendelea Yanga kwa Kila kitu Mpaka kufikia kusafirisha Mashabiki wa Yanga kana kwamba Simba hawachezi.
Imefikia hatua hata waamuzi kwenye ligi wanaibeba Yanga ili kufurahisha Samia.
Wadhamini wanamiminika Yanga ili kufurahisha Samia.
Hata mambo ya Mwigulu kuhusishwa kupanga matokea nayo tunatilia shaka kuwa anapata Nguvu Toka mamla ya juu.
Kama unaona huwezi kubalance Ushabiki wako basi bora uelekeze Nguvu kwenye siasa zako. Mtakuja kuvuruga hii nchi.
kinachouma ni kodi zetu jombaaUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Walibebwa na nani?Tulia sindano iingie. Mlibebwa sana sasa zamu yetu.
Maamuzi ni yako chagua kushinda mechi au ku possess mpiraYanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Bidii ya wapi,Yanga wamefanya nini?Wala siyo upendeleo mtoto mwenye bidii ndiyo wakumpongeza.Ukisafirisha mashabiki wa Simba kwenda Misri wanakuwa wameenda kutalii TU wakati washatolewa.Tena serikali ingeongeza mashabiki zaidi ya hapo."Yanga kwanza Simba baadae"