Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Fikirieni upya na mapossesion yenu hayo, posessioni gani mnaisema ya kipa wao kucheza zaidi, kwa mawazo yenu possesion ile ingewapa goli hao ndugu zenu labda wangeamua kujifunga wenyewe. Maana faraja yenu saizi ni possesion, waabieni wakaendelee kupossess
Ila ni possesion,kama siyo possesion ingepewa jina lingine
 
Mkiongea as if Yanga ni Barcelona,kwa mpira upi amfunge Mamelodi,hebu acheni wehu
Kuichukia Yanga haibadili ukweli kwamba wana kikosi bora kuliko sisi...

Viongozi wa Simba wanapewa nguvu na nyinyi ambao mnapongeza kwenye hamna ...

Unafiki hautotyfikisha popote, lazima tubadilike na tuwatake viongozi wasajili kama watu wenye akili timamu.
 
Mpira wa kileo siyo possession Bali kucreate chansi za magoli ingekuwa hivyo Jana mancity kapossess 78 kwa 22 za Arsenal ila Arsenal katengeneza nafasi 6 za hatari tofauti na mancity alitengeneza nafasi 2. Kwa akili yako basi Jana Arsenal angekula chuma zaidi ya 6 kwa possession za City.
Umezidiwa possession na goli huna,basi jisifu ungeshinda
 
Kuichukia Yanga haibadili ukweli kwamba wana kikosi bora kuliko sisi...

Viongozi wa Simba wanapewa nguvu na nyinyi ambao mnapongeza kwenye hamna ...

Unafiki hautotyfikisha popote, lazima tubadilike na tuwatake viongozi wasajili kama watu wenye akili timamu.
Hicho kikosi bora wamefanya nini
 
Yanga waliiomba serikali kwa maandishi ,serikali imejibu kwa maandishi .
Shida ya Simba ni uongozi usio na ubunifu. Chifu Mangungo yupo yupo tu na mashabiki mbumbumbu.
Injia Hersi ana akili sana huyu kijana.
c waliambiwa waombe kwa maandishi
 
Back
Top Bottom