Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Makolo mna akili kweli? Sasa ww unaelalamika niambie lini mlianzisha kampeni ya kupeleka mashabiki wenu ughaibuni wakati timu lenu linaenda kucheza?? Madam president anasapoti kitu au jambo ambalo tayari muhusika ametia nia
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.

Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
YANGA ndo imeiomba msaada serikali, ni hivyo tu.
 
haya mambo ni kiqumayo sana aiseee, hivi.....qumanina zao wote wanaotuhujumu na kuibeba utopolo
 
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Hahahahaa..... ile game uliangalia au ulisimuliwa?
 
Makolo acheni umama kulialia kwavile ni wajawazito Kwa kimoja cha mkwezi kutoka Kwa mwarabu figter Alahyl
 
Yanga mchakato wa kwenda Kwa bus south Africa ulikuwepo ivyo serikali imegandamizia tu mstari Kwa kuamua kuwalilipia. Watu 30 walishachanga nauli wao watarudishiwa na wengine 18 wataongezwa. Simba mpango wa bus kwenda Misri hata haupo ivyo sio upendeleo ni kuunga mkono juhudi za mashabiki na uongozi wa Yanga
Yule aliyewalipia mashabiki waingie Bure uwanjani kwani ameishiwa fedha za kuwalipia nauli!?
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.

Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Timu ya CCM hii.
 
Acha wivu, subiri hadi mwisho done kama hamtapewa,au ulitaka ukabidhiwe yako kabisa mkononi.🤔
 
Back
Top Bottom