Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Hapa naona umeamua kuweka pembeni heshima ya udakitari ukavaa umbumbumbu mzima mzima 😂😂.
Kwel nabii Rage fundi🤣🤣🤣🤣
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.

Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Waziri na Naibu wake wote ni Kolozidad lialia. Yanga wameomba na kukubaliwa. Kolizidad ombeni pia.
 
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Dr punyeto with poor analysis!!. Ukiulizwa hiyo possession ya Mamelod wameifanyia wapi unajua?. Yaani umilik 76 afu uwe na shoots on goal 2?. Hiyo Simba iliyomiliki 60 matokeo yake vipi?.
 
Dr punyeto with poor analysis!!. Ukiulizwa hiyo possession ya Mamelod wameifanyia wapi unajua?. Yaani umilik 76 afu uwe na shoots on goal 2?. Hiyo Simba iliyomiliki 60 matokeo yake vipi?.
Yanga pamoja na Kucheza mpira mzuri ila mkipunguza mihemko mtakuwa na Fanbase kubwa sana..
🤣🤣🤣
 
Udokta wako ni jina au professional?, maana inawezekana unatumia majina bila vigezo. Hamna dokta mjinga asiyejua hata simple analysis ya mechi ya juzi!.
Mkuu Udocta na Mechi ya Yanga na Mamelody inahusiana nini?
Yaani unatka kusema Curriculum ya Udaktari kuna Somo la Mpira?
Au kuna mafunzo ya Possesion au Ya Jinsi ya kuchambua au Analysis ya Mpira??

Uko serious kabisa?

nataka kuamini Unatania..
Bhasi itabidi Nikaulize kwa madaktari wenzangu wanichambulie Mechi ya Yanga na Mamelody maana nahisi sikuhudhuria lecture ya Somo la anatofootball au Paeditball au gynasoccer 🤣🤣
 
Mkuu Udocta na Mechi ya Yanga na Mamelody inahusiana nini?
Yaani unatka kusema Curriculum ya Udaktari kuna Somo la Mpira?
Au kuna mafunzo ya Possesion au Ya Jinsi ya kuchambua au Analysis ya Mpira??

Uko serious kabisa?

nataka kuamini Unatania..
Mawazo yako hayareflect udaktar simple mind!!
 
Mawazo yako hayareflect udaktar simple mind!!
Malizia kuwa mawazo yangu kuhusu Soccer hayareflect Udaktari..!
Na nakubali pia..
Kwa sababu Soccer its not my specialty..
Mimi sio Football analytical Guy

Lakini jua kwamba Ukiwa upande wa Upinzani huwezi kuona Point yeyte iliyoclear
 
Back
Top Bottom