View attachment 2950693Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
I see, siyo sawa. Hata Simba nako wapeleke mashabiki 40. Siyo vizuri kupendelea, hizi timu zinawskilisha nchi yetu wote.Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Ficha ujinga yanga ndio waliomba sapot kutoka serekaliniNyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Kweli ushabiki ni mapenzi, na mapenzi ni kama upofu.
Simba na Yanga ni mali ya Serikali, nyuma ya mafanikio yao kuna mkono wa Serikali.Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Mmeshatoka nyie Mbumbumbu a.k.a Rage FC nani aingie gharama kujishgulisha nanyi na michezaji yenyewe mizee ile?😀😃😄😁😆😅🤣😂Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Yanga Wana nafasi??Kweli ushabiki ni mapenzi, na mapenzi ni kama upofu.
Yaani Simba wanaamini kabisa wanaenda kuwatoa Ahly? Bora hata Yanga wana nafasi.
Wacha weeeeee, dogo kwenye ubora wako. Kumbe upo Rage FC?Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Hivi kuna mtu mwenye akili atakaye wekeza mangungu fc? Boss mwenyewe kasema anakaribia kuziraNyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Ushindi siyo possesion, ushindi ni trategy, unaweza ukaachiwa umiliki mpira na ukafungwa.Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..Ushindi siyo possesion, ushindi ni trategy, unaweza ukaachiwa umiliki mpira na ukafungwa.
Yanga ana uwezo wa kupata goli kule na akawa na faida ya goli la ugenini.
Na wewe DR kumbe ni shabiki kindakindaki?