Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.

Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Hata maandiko yanasema. Huwezi tupia mbwa chakula wakati wanao wanahitaji. Mlitaka simba hawahawa wapewe sapoti wakati tayari wameshatolewa?
 
Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?

Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Jidanganye.
Hata barcelona kipindi inatolewa Uefa na Chelsea iliongoza possession ila ikaongozwa magoli.
 
Mkuu Udocta na Mechi ya Yanga na Mamelody inahusiana nini?
Yaani unatka kusema Curriculum ya Udaktari kuna Somo la Mpira?
Au kuna mafunzo ya Possesion au Ya Jinsi ya kuchambua au Analysis ya Mpira??

Uko serious kabisa?

nataka kuamini Unatania..
Bhasi itabidi Nikaulize kwa madaktari wenzangu wanichambulie Mechi ya Yanga na Mamelody maana nahisi sikuhudhuria lecture ya Somo la anatofootball au Paeditball au gynasoccer 🤣🤣
Ama pathosoccer!!😂😂😂😂
 
Umezidiwa possession na goli huna,basi jisifu ungeshinda
We jamaa ni mbishani.
Mbishani ni mtu anayependa tu kubishia lolote hata lenye ushahidi.
Kwa akili zako unafananisha we uliyefungwa home na niliye draw?
 
We jamaa ni mbishani.
Mbishani ni mtu anayependa tu kubishia lolote hata lenye ushahidi.
Kwa akili zako unafananisha we uliyefungwa home na niliye draw?
Umedraw ila hujafuzu
 
Achana na mambo ya mwenye nafasi za kufuzu,hadi sasa hujafuzi, ndo mana kuna home and away
Nani ana nafasi kati ya uliyefungwa na aliye draw??
 
Hata maandiko yanasema. Huwezi tupia mbwa chakula wakati wanao wanahitaji. Mlitaka simba hawahawa wapewe sapoti wakati tayari wameshatolewa?
Wametolewa kwa kanuni ipi?acha bla bla ndo maana kuna second leg
 
Sasa wewe mbona Tomaso? Unadhani makolo watatoboa hapo ugenini?
Kwa kanuni ipi wametolewa? Kama wametolewa kusingekuwa na second leg au huelewi kanuni za mashindano mkuu
 
Mbona sijakuelewa! Unanisemea nini? Moderator
Ulianzishwa uzi kuhusu hizo team na kuwekwa hiyo chart wakaufuta bila sababu hao vlazer!.
Screenshot_2024_0401_083338.jpg
 
Back
Top Bottom