Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,


Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Hebu muandikie uchambuzi unaoupendekeza wewe mleta hoja.
Mimi binafsi sikubaliani na mada yako japo umeonesha wewe ni mwanaccm na unataka nikubaliane na wewe kwa lazima.
Naomba uheshimu maoni yangu vinginevyo ondoa hoja yako.
 
Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,


Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Mwendawazimu, jambo kubwa analoweza ni kutukana. Ukiona unapenda sana kutukana, waulize ndugu zako kama wanakuona upo sawasawa.
 
Mwendawazimu, jambo kubwa analoweza ni kutukana. Ukiona unapenda sana kutukana, waulize ndugu zako kama wanakuona upo sawasawa.
Mpumbafu sio tusi mkuu, Tangu nimejoin Jf sijawahi tukana wala kukashifu yoyote nifuatilie vizuri utaelewa ninachosema
 
Habari hii ni njema sana kwa WATANZANIA,

Tuendelee kuchapa kazi
 

 
Finally umekuja kujijibu mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3], subiri pakuche ukasign Tsh 8000 yako masta.
Mkuu sipewi hata mia na mtu Mungu shahidi ila naipenda sana Tanzania yangu na Rais wangu
 
Mimi ni shahidi wa mimi mwenyewe, Mzunguko upo kwa sasa
 
Hebu muandikie uchambuzi unaoupendekeza wewe mleta hoja.
Mimi binafsi sikubaliani na mada yako japo umeonesha wewe ni mwanaccm na unataka nikubaliane na wewe kwa lazima.
Naomba uheshimu maoni yangu vinginevyo ondoa hoja yako.
Kwani kuwa CCM ni dhambi?
 
Tatizo ni nini kwa Sababu kutokana na hawa machawa pesa zimemagwa mtaani
 
Nonsense, Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…