Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Hakika Mzunguko umerejea,

Ukitaka kuamini nenda baa mbalimbali Dar es salaam,

Utakuta watu wamejaa sana,

Hizo Ndio prove local,
 
Hizo pesa zinazungukia wapi ?, au wenye kamba ndefu wanazimaliza kabla ya kufika huku chini ?
 
Fanya kazi kwa bidii utakutana nazo lazima,
kwahio hazijaongezeka ?, Logically kama nilikuwa nafanya kazi at the same speed (constant) na mwanzo nilizipata alafu zikapotea na sasa zimepotea zaidi, logic tells me hazijaongezeka....
 
kwahio hazijaongezeka ?, Logically kama nilikuwa nafanya kazi at the same speed (constant) na mwanzo nilizipata alafu zikapotea na sasa zimepotea zaidi, logic tells me hazijaongezeka....
Volumes imeongezeka kwa lugha rahisi
 
Ongeza urefu wa yako pia mkuu wangu
Shida hizi zilizopo sasa ni sababu ya urefu wa kamba tunaowatuma wachume ili wagawanye keki wanaishia kule peke yao..., kwahio unless otherwise wewe sio Mzalendo itakuwa sio hekima kunishauri na mimi niungane na walafi wala keki ya taifa peke yao
 
Kula urefu kwa lugha sanifu ya kiswali ni "Kufanya jambo katika mipaka iliyokusudiwa "

Sijui wewe unaelewaje
 
Kula urefu kwa lugha sanifu ya kiswali ni "Kufanya jambo katika mipaka iliyokusudiwa "

Sijui wewe unaelewaje
Iliyokusudiwa na nani? sheria au ulafi wa matumbo ya walaji ?, Kwahio kama mtu namlipa alime hekari 10 nimlipe nikaja kesho amelima hekari 15 nitakuja juu kwamba kwanini umekula zaidi ya kamba yako ?

msemo huu katika context ya siasa na watendaji ni kila mtu anakula kulingana na fursa anayopata (mtendaji anakula kila wahitaji huduma wakija) mnunuzi anakula 10%; Traffic kwa kila mwenye makosa...,
 
Hapana mkuu unakosea, Sicho alichomaanisha Mama
 
Kama sio BOT data zitoke wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…