Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,


Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,

Dalili ya mtu aliyeelimika habishani Kwa kutukana; anatoa facts, kumbe Mbuzi aliuzwa kusomesha mbuzi ingine!
 
Mimi ni CHADEMA ila namkubali Mama balaa sitaki kabisa kukumbuka tulikotoka,
Mimi nilikuwa mdau wa Upinzani kwa miaka mingi ila toka wapinzani wanunuliwe niliwapuuza rasmi,nimewahi tumia rasilimali zangu kwa ajili ya wapinzani hasa Silinde na Waitara.

Na kale kashonza kalikuwa kanatupangia majukumu tukiwa chuo kumbe ni kashenzi.From there nikaacha siasa rasmi nikawa mpinzani wa Magu hasa kwenye sera zake za kipuuzi za Uchumi.

Alivyoshika mama nikaona tunaenda sawa kwenye issues za management of economy,mambo ya siasa sihusiki nayo,namkubali mama kwenye sera za Uchumi za kiliberali.
 
Mimi nimeamua kwa moyo wangu wa dhati nimuunge mkono Mama huyu ametufaa sana kama Taifa,
 
Mkuu wewe ni msemaji wa wananchi?
 
Mama ana nia njema na nchi, hivyo kwa kuheshimu wema wake huo, chonde chonde msimueleze uongo mwambieni ukweli.
 
Hizi ID za mwendokasi sio za kuaminika!ID mwezi uliopita,hizi ni ID za mapambio tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…