Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Leo zimepita siku mbili tu tangu nilete uzi hum jf kuhusu askofu bagonza na gazeti lake la mzee wa faru john kuhamasisha maandamano ndani ya gazeti la tanzania daima .

Naona serikali iliona malalamiko yangu kupitia jf.

Ahsante sana serikali, maana nilishambuliwa sana hum jf.
Huyo askofu Bagonza ahubiri hyo maandamano kanisani kwake , ila ajue ipo siku waumini watamfanyia kitu kibaya.
 
Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
Linazidi like gazeti la Tanzanite ambalo lenyewe wala halifuati misingi ya kutoa habari kwa kuwa limejaa upotoshaji, uongo na usingiziaji ambao umeleta chuki kubwa sana hapa nchini..........

Lakini kwa kuwa tunajua mmiliki wa gazeti hilo ni swaiba wa Jiwe, ndiyo sababu linalindwa kwa nguvu zote!
 
Nchi ya CCM; Huna la kufanya!!
Lakini bado naamini upo mwisho wao tu hawa maccm.........

Haiwezekani wafanye maonevu yote haya na wabaki salama, kama utadhani wana hati miliki ya nchi hii
 
Sheria ndivyo inavyosema! Hamna namna watekeleze tu

Je ajira za watanzania hao zinakuwa wapi?

Ni ujinga biashara ya mtu inafungwa na mtu mmoja tena kwa karatasi moja huku mamia wakienda kulala njaa

Wakati paschal mayalla alipotuhumiwa na bunge, bunge alikutuhumu gazeti kwa nn sheria isiruhusu chombo kupinga maonyo yasiyothibitishwa na muhusika au mahakama kabla ya uamuzi kutolewa?
Safari ni ndefu


Kwani kesi ya uchochezi ni kwa nchi za mirengo ya kushoto tu? Sawa
 
Gazeti la uhuru limeachwa du huu ni uonevu maana nilitegemea gazeti la uhuru lingekuwa la kwanza kufutiwa leseni.

DUMU KUBWA
 
Gazeti pekee lililokuwa limebaki kusema madudu ya CCM na serikali yake.
Sasa Kama gazeti pekee la kusema madudu ya CCM na serikali Yake, ina maana chadema Haina madudu? Hili gazeti lilikuwa pia linasema madudu ya chadema, Kama lilikuwa halisemi ya Chadema linasema ya CCM tuu basi halina tija kwa watanzania.
 
Hakika bila msaada kutoka jumuia za kimataifa uchaguzi ujao hauta kuwa sio huru tuu Bali wa kukandamiza na ikiwezekana mabaya zaidi.
Leo gazeti LA Tanzania Daima limefungiwa rasmi kuchapishwa.

 
Maandalizi ya uchaguzi
Hakika bila msaada kutoka jumuia za kimataifa uchaguzi ujao hauta kuwa sio huru tuu Bali wa kukandamiza na ikiwezekana mabaya zaidi.
Leo gazeti LA Tanzania Daima limefungiwa rasmi kuchapishwa.

 
Yale yanayoandika kwamba jamaa ni Yesu moya wa Tanzania hayo ni swaafi. Kweli hata kama umefika la nne la mkoloni utajua fika nchi ina tatizo la kiuongozi.
 
Back
Top Bottom