mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Kweli kabisaHaya maamuzi ya kulifungia yamechelewa sana. Lilipaswa liwe lishasahaulika kama kumewahi kuwa na takataka inayojiita Tanzania Daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHaya maamuzi ya kulifungia yamechelewa sana. Lilipaswa liwe lishasahaulika kama kumewahi kuwa na takataka inayojiita Tanzania Daima
Linazidi like gazeti la Tanzanite ambalo lenyewe wala halifuati misingi ya kutoa habari kwa kuwa limejaa upotoshaji, uongo na usingiziaji ambao umeleta chuki kubwa sana hapa nchini..........Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
Mamantilie watafungia nini mihogo na vitumbua.?
Haya maamuzi ya kulifungia yamechelewa sana. Lilipaswa liwe lishasahaulika kama kumewahi kuwa na takataka inayojiita Tanzania Daima
Lakini bado naamini upo mwisho wao tu hawa maccm.........Nchi ya CCM; Huna la kufanya!!
Pumbavu.
Mbwa kabisa weweHili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
The GuardianMamantilie watafungia nini mihogo na vitumbua.?
Sasa Kama gazeti pekee la kusema madudu ya CCM na serikali Yake, ina maana chadema Haina madudu? Hili gazeti lilikuwa pia linasema madudu ya chadema, Kama lilikuwa halisemi ya Chadema linasema ya CCM tuu basi halina tija kwa watanzania.Gazeti pekee lililokuwa limebaki kusema madudu ya CCM na serikali yake.
Hakika bila msaada kutoka jumuia za kimataifa uchaguzi ujao hauta kuwa sio huru tuu Bali wa kukandamiza na ikiwezekana mabaya zaidi.
Leo gazeti LA Tanzania Daima limefungiwa rasmi kuchapishwa.
Enzi zile ilikuwa unampa chenchi kidogo tu msajili unapewa leseni. Sasa hivi mmhh!Tutasajili gazeti jipya la MWANGA na lenyewe mlifute tu......