Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Wanaangalia uhqba uko wapi hizi nafasi kila halmashauri au mkoa umetoa takwimu za upungufu wake na zimetangazwa kulingana na uoungufu wa m
oa husika,hivyo pia zingatia ngazi ya elimu stashahada (diploma) nq shahada (degree)
 
Kwa mfano mkuu una degree afu ukafanya postgraduate diploma ya education inakuwaje apo naona mfumo unanigomea
 
Dogo langu amesoma literature in english kweny tangazo wameandika English literature, je anaweza omba hapo au hiz ni tofaut kabisa?
 
Kwa mfano mkuu una degree afu ukafanya postgraduate diploma ya education inakuwaje apo naona mfumo unanigomea
Hiyo postgraduate certificate itakuwa kama ni added advantage kwenye nafasi uliyoomba.

Mathalani wanahitajika Walimu wa Shahada ya kwanza, wewe unaweza kuomba kwakuwa una degree tayari lakini hiyo postgraduate certificate yako itakusaidia mbele ya safari Kazini
 
Ndio mkuu ukirudi hapo kwenye post namba 92 utaona viambatanisho nadhani mfumo haijakaa sawa
 
Ndio mkuu ukirudi hapo kwenye post namba 92 utaona viambatanisho nadhani mfumo haijakaa sawa
Kama ni hivyo kiondoe kwenye mfumo hicho cheti.

Utakionesha ukishaingia Kazini na kuthibitishwa baada ya Mwaka mmoja wa ajira
 
Kama ni hivyo kiondoe kwenye mfumo hicho cheti.

Utakionesha ukishaingia Kazini na kuthibitishwa baada ya Mwaka mmoja wa ajira
Haikubali kabisa mkuu Yaani ukishwaweka umeweka hamna sehemu ya kufanya hata editing na wao pia wameeleza kwa huwezi kuondoa ukishaweka
 
Nyie wa English Language kwenye interview mtakua mnaulizwa Kwa kiswahili mtatakiwa mjibu kwa kiingeza
Interviewer: Kwema ndugu mwalimu?

Mwalimu: I'm fine

Interviewer: Wewe ni shabiki wa timu gani hapa Tanzania?

Mwalimu: Simba, I like Simba very much. I'm a Simba fan, Sir!

Interviewer: Aaaah safi sana, Sasa Ile ubaya ubwela, hivi ubwela ni nini kwa kiingereza ndugu mwalimu?

Mwalimu: Ubwela is theee ubwela is thee,,, theee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…