Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
Kutoka Moshi hadi Ethiopia kunakozalishwa umeme ni kilomita 1400

Na kutoka Rufiji umeme unatoka bwawa la Nyerere hadi Moshi ni kilomita 735

Hizo hesabu za Tanesco za ufafanuzi za umbali sijazielewa kwa kweli
 
Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yanapeleka wapi umeme
Mkuu hilo swali la kwanza hutokaa upate majibu kamwe. Zaidi utaishia kutekwa wakiona unauliza sana.
 
Mkuu umesababu vizuri sana,inamaana huko kaskazini huo umeme wananchi wanapewa bure? Na hizo nchi utakakokuwa unauzwa umeme utaenda bila kupotea kutokana na umbali? Majirani zetu ndio hao Uganda,Kenya,Ethiopia na Zambia wanatuuzia kwaiyo sisi tutamuuzia msumbiji na Malawi pekee walio karibu? Maana Congo,Rwanda na Burundi wapo mbali kuliko hapo kaskazini!
 
Umbali wa kutoka JNHEPP mpaka Kaskazin, unalingana na kutoka Ethiopia kuja Kasikazin Mwa Tanzania?

Kwa kufanya Hivo, Serikali haioni inaenda kua Tegemezi bila kukutafuta Suluhisho la kudumu Kwa Kaskazin?.

Serikali inauhakika kua Umeme wa Ethiopia , utaipa Kaskazin Umeme wa uhakika ?.

Kutoka Ethiopia mpaka Kasikazin, wenyewe hawapotezi Umeme Njian??.

Huo Umeme wa kutoka JNHEPP unakua unapoteaje ili hali Kwa kadiri unavyopita ndivyo utazidi kuunganisha Maeneo pembezon ??.
 
October 2025
Kuwanyima Kura Hawa Wapuuzi
umeme Wetu Nchini Kwetu Wataalam Tunao Wanashindwaje Kuthibiti Huo Upotevu
Kutoka Pwani Yaañi Liliko Bwawa Mpaka Tanga Ambako Ndiyo Mikoa Ya Kaskazini Iwe Mbali Namna Gani ?


Halafu Ethiopia via Kenya Iwe Ndiyo Karibu

Upuuzi Mtupu
 
 
Kama jambo ni umeme kupotea njiani kwa sababu ya kusafiri umbali mrefu huo wa kutoka Ethiopia utakua unasafiri na power bank ili usipotee njiani au 😳 kwani huu ambao umefika hadi kigoma unafikaje bila kupotea njiani au unaenda kwa Google map 😳Lazima uwe hauna Akili timamu kuwaunga mkono hao mazezeta
 
Umeongea mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…