Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Memento

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4,423
Reaction score
9,986
Mkuu ulikomaa Sana nikakwambia ni dola mil.6250 bado ukawa huelewi.Nadhani sasa umeelewa.
 
#Kaziiendelee
#KTBFFH
 
Hawatwambi tena kwenye tozo za miamala wanapata kiasi gani..

Hii nchi hii [emoji1787], inatosha tu kusema "sisi ni mabwege saana"
Inaonekana kama unatamani kusema zigawanywe tu kwa wananchi kila mtu apate chake ashike njia yake ila unaogopa tu 🤠
 
Sio kazi ya serikali kukwambia kila source ya kipato chake acha ujinga na utoto.
Sasa hiyo ndiyo kazi ya serikali kutuambia fedha wametoa wapi na zimetumikaje.

Sisi wananchi ndio mabosi na wao ni watumishi wetu.

Ndio maana mtumishi wa umma anaitwa " civil servant"

Sisi kama wananchi tuna kikao chetu kupitia wawakilishi wetu ambacho kinaitwa bunge.

Na hao ndio wanaotuwakilisha kuiuliza maswali serikali kwa niaba yetu.

Ndio maana Ndugai alipohoji mikopo tulimuunga mkono kwani yeye ndiye mkuu wa vikao vya wananchi wanaohitaji majibu toka kwa serikali.
 
Inaonekana kama unatamani kusema zigawanywe tu kwa wananchi kila mtu apate chake ashike njia yake ila unaogopa tu [emoji1783]
Wakubwa wameshajigawia, bado sisi kina "achimenengule" tukifanya mzaha, vitaisha vyoote.
 

 
Sio kazi ya serikali kukwambia kila source ya kipato chake acha ujinga na utoto.
Kauli chache tu zinaweza kukuweka kwenye kundi la timamu ama utopolo..

"Kila source ya kipato chake" umeelewa hata ulichoandika mzee, source ndio hii niliyosema mimi.

Rekebisha kwanza hapo naweza nikaendelea kupoteza muda nawe sina shughuli ya kufanya kwa muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…