Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tunamtaka huyo anayefanya Rais aonekane kituko kila anapotoa hotuba.Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Juzi kamchomekea suala la askari anayetaniana na wenzake kambini mwaka 2014 na alishashitakiwa na kuadhibiwa kijeshi. Matokeo yake IGP kwa woga kamfukuza kazi ili kutekeleza amri ya Amiri Jeshi.