chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Jambo zuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijazidi upumbavu wako,nilisema figure ni dola mil.6250 na sio billion,pia nikasema hiyo lugha huwa tunaitumia na nikaweka na mfano sasa upupu wako usiniletee hapa.Mkuu Mag3 , huyo The Sunk Cost Fallacy , Idugunde , Elitwege , ni mazuzu ya mwisho.
Ni hasara kwa matumbo yaliyowabeba.
Kwani hujui kwamba dola mil.6250 ndio til.14? Mumekomaa na figures wakati Rais kazungumzia mambo mengi ya msingi.Yaani wewe The Sunk Cost Fallacy, ni mtu mpumbavu sijawahi kuona. Yaani ulivyokomaa kwamba hotuba ilikuwa ni sahihi, leo unaleta upumbavu wako hapa ukidai waliohoji usahihi wa hotuba walikuwa ni wajinga wa Chadema.
Huna aibu mbwa wewe sijui vitakataka kama wewe viliingiaje humu JF...it is pathetic!
Hebu angalia hapa ulivyomjibu MkamaP
na hapa anagalia ulivyomjibu Somi
Yaani kwako wewe mpuuzi dola bilioni 6253 ni sawa na shilingi trilioni 14!. UKiambiwa ni kosa unakaza shingo utafikiri chatu kameza faru!
Umeona Mag3 alivyoweka ushahidi wa uzuzu wako hapo juu!!??Sijazidi upumbavu wako,nilisema figure ni dola mil.6250 na sio billion,pia nikasema hiyo lugha huwa tunaitumia na nikaweka na mfano sasa upupu wako usiniletee hapa.
Serikali ianzishe na akiba ya maji ili ukame ukitokea wananchi waweze kupata maji bila mgao usio na kichwa wala miguu.Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977, rais wa JMT, hawezi kukosea wala hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote!.
Kwenye kufundishwa kwangu hesabu kuanzia makumi, mamia, maelfu, mamilioni, mabilioni etc hakuna kitu kama milioni elfu moja. Milioni inaishia milioni 999 na from there ni bilioni moja na milioni so and so.... Nashangaa Sana mtu anaandika milioni 6000!!!Hii serikali imezoea kudanganya, wakishitukiwa wanaanza kukunja mkia kama mbwa aliyebambwa akiiba mayai.
Hata hizi million 6253 ni namba tu, wakiminywa zaidi sio ajabu wakabadili tena.
Haiingii akilini eti akosee aliyeandika, aliyeikagua asione, raisi mwenyewe wakati anaipitia kabla hajaisoma naye asione[emoji15]
Halafu eti waliofanya kosa kubwa hivyo hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Eti Dolla milion elfu sita na miambili hamsini na tatu,, rais kakosea na msemaji nae kakosea. Inafikirisha sana
Exactly!! Badala yake wanasema eti UFAFANUZI [emoji13][emoji13]ilitakiwa iwe KUOMBA RADHI kwa taarifa isiyokuwa sahihi.Sasa mbona hawaombi samahani kwa huo upotoshaji wa Rais?
Anakera sana yule mvuvi wa tanganyikaHatimaye, maana msemaji wa kujitolea wa serikali Ndg. Zitto alikuwa haoni umuhimu wa ufafanuzi, asanteni IKULU.
Hii ilitakiwa iandikwe "Bilioni Sita milioni mia mbili na hamsini na tatu tuu.Milioni 6253 kwa maneno inaandikwa: Milioni elfu Sita mia mbili Hamsini na Tatu tu. hilo neno "na" liondolewe.
Yule askari kimenuka kumbe??Tunamtaka huyo anayefanya Rais aonekane kituko kila anapotoa hotuba.
Juzi kamchomekea suala la askari anayetaniana na wenzake kambini mwaka 2014 na alishashitakiwa na kuadhibiwa kijeshi. Matokeo yake IGP kwa woga kamfukuza kazi ili kutekeleza amri ya Amiri Jeshi.
Hapitiii spichi kabla ya kuisoma kwani??Rais hajakosea alisoma Kama alivyoanfikiwa ebo!!!
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]..sarafu ya Tz ni shilingi, kwa hiyo ni makosa kwa Raisi na serikali kutoa taarifa za akiba yetu kwa viwango vya sarafu ya nchi nyingine, Marekani.
..kwa hiyo Rais alikosea?
..Na taarifa ya Ikulu haitolewi namna hiyo.
..Jina la anayetoa taarifa na nafasi yake huko Ikulu ni moja ya vipengele vinavyotakiwa kuwepo ktk taarifa.
cc Pascal Mayalla
Sasa mkuu Pasco kwani Rais huwa hapitiii hotuba yake several times kabla ya kuisoma kwa umma? Niliwahi kuona clip ya Barack Obama akifanya rehearsal ya hotuba yake kwa taifa na wasaidizi wake na niliona wakiondoa hiki na kuongeza hiki...Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977, rais wa JMT, hawezi kukosea wala hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote!.
Kukitokea kosa lolote la rais kama hilo la kukosea data, rais anakuwa hajakosea, bali anakuwa ni amekoseshwa na wasaidizi wake!, tena lugha ya heshima sio kusema rais amekosea, bali ni rais hakuwa sahihi kutokana na kosa la typo tuu ambalo ni rais amekoseshwa na wasaidizi wake!.
Tena Tanzania ingekuwa ni nchi inayoheshimu truthfulness and transparency, pia tungeezwa aliyemkosesha rais wetu kwa typo, ni nani na amefanywa nini?. Kama ni typist , then kosa la typo kwa typist ni common mistakes, typist haadhibiwi kwa typo,
Pia kosa la typo kwenye taarifa ya kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, sio kosa lao, kurugenzi inatoa ilichopewa, lakini kosa la typo kwa proof reader au msaidizi wa rais hotuba, sio kosa dogo!, huu ni uthibitisho ndani ya Ikulu yetu tuna watu ambao hawatoshi!.
P
Mkuu igogondwa , sio tuu rais anapitia, bali kuna watu maalum, paid by taxpayers money for doing that. Hizo ni figures and data hivyo uki feed wrong data , rais Samia sio mtu wa data na calculus kama JPM, what you feed in is what comes out.Sasa mkuu Pasco kwani Rais huwa hapitiii hotuba yake several times kabla ya kuisoma kwa umma? Niliwahi kuona clip ya Barack Obama akifanya rehearsal ya hotuba yake kwa taifa na wasaidizi wake na niliona wakiondoa hiki na kuongeza hiki...