Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Ndiyo wamehalibu kabisa,Nafuu wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,

Dola milioni elfu sita?
Kwanini isiwe bilioni 600?
 
Sasa imekua kawaida kwa taarifa za ikulu kukosewa. Nashauri kitengo Cha Mawasiliano, Ikulu kiliangalie hili. Ni ishara ya kukosa umakini(smartness).
 
Angetamka hiyo pale UN wale hawajui Mambo ya ufafanuzi na mngetakiwa kulipa madeni yote 24hrs na kuondolewa kwenye list ya kusaidiwa misaada msichukulie easy easy tu
 
Ikipitiwa na watu wawili au watatu kabla haijafika kwa rais lazima typo kama hizo zitagunduliwa mapema....
 
Episode inayofuata ni kumsikiza Ndugai leo
 
Sasa kuna watu humu kwavile akili zao ni ndogo wako kwenye kundi la mapambio na vigelegele walikuja kutetea ule upotoshaji.ila sasa muda umewaumbua kwasababu wahusika ni watu waungwana na wanajua uungwana ni vitendo sio tambo na mapambio yasiyo na msingi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kaziiendelee Tanzania na Rais Samia, Wale wa "Petty Politics " tafute agenda mpya
Ingekuwa petty politics serikali isingetoa ufafanuzi. Kitendo Cha serikali kutoa ufafanuzi Ni uthibitisho ya kwamba Hilo ni Jambo kubwa.
 
Sio kazi ya serikali kukwambia kila source ya kipato chake acha ujinga na utoto.
Serikali inatoa mamlaka kutoka kwa wananchi, hivyo wananchi ambao ndio wameiajiri serikali wana haki ya kujua source mapato. Maana tozo unawatoza wao na Kodi wanalipa wao. Serikali mtumishi wa wananchi.
 
Hao ni wale fisi wanaosifia kila kitu hadi ujinga mradi tu kinatoka kwa mtu mwenye maslahi naye.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sijazidi upumbavu wako,nilisema figure ni dola mil.6250 na sio billion,pia nikasema hiyo lugha huwa tunaitumia na nikaweka na mfano sasa upupu wako usiniletee hapa.
Upupu wako nikutaka kumlisha rais maneno.kwenye hotuba ya rais kulikua na Bilion sasa wewe hiyo milion uliitoa wapi au ulikua na mamlaka gani yakumsahihisha rais.Ukatukana hadi chadema kumbe wewe ndiye kiazi kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ufafanuzi wa kosa kama hili ulitakiwa utolewe haraka sana. Hii ingepunguza sintofahamu mapema tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…