johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unasubiri nini mkuuu fanya himaHio 'x' kwenye heading nataka kutapika
Mwizi huwaza kuiba tuHao “maofisa” wako kwenye ndege ila mioyoni mwao wanawaza tu hizo padiem zao na namna ya kiextend [emoji28][emoji28]
Wasingeenda napo nongwa...daah nchi hii hawajulikani wanataka nini.Watu wanajilia perdiem za dolari
hahahaaahaaa we jamaa nomaSerikali initumie hela kwenye MPESA na mimi niko ukrain huku hali ni tete
Haya taja namba[emoji23][emoji23]Serikali initumie hela kwenye MPESA na mimi niko ukrain huku hali ni tete
Acha zako banaTISS imejaa CCM tupu
Sawa mkuuAcha zako bana
Big failure kwao pamoja na MI.Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.
Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.
Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.
Hii ni failure to them.