Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Tiss hii ya Diwani hamna kitu aiseeee, kama walishindwa kumjua kigogo for five good years sasa intel za nje ya nchi ndio wazipate?
Pumbafu hao walio ndani ya Ukraine hawakuona hilo hao watanzania? Nimeona wakenya wanafunzi kibao wamesusa hawaruudi kwa sababu zao binafsi wanasema Serikali isiwasumbue kuwa warudi hawakuiomba wakati wanaenda kuwa niwapeleke wawachukue wanataka kurudi

Wanigeria pia kibao wamesusa kurudi wakisema hizo hela za kuwarudisha wawape wajue cha kufanya huko waliko .wasifisadi kwa kuwatumia wao.Wawachukue wanaowataka wao hawarudi Nigeria serikali haikuwapeleka huko wanasema leave us alone.
 
Hujui wajibu wa serikal kwa raia wake
Umeenda kwa nauli yako Ukraine kutafuta maisha yako kurudi Serikali ikupe nauli? Na kukutumia ndege? Ukienda mkoani ukiishiwa nauli Serikali ikupe? Ikutumie basi au ndege?
 
Uk
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Iwakuta wanakuambia "...unajua sisi ni nani?"
 
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Kwani mgogoro unawahusu wapinzani wa ccm??
 
Tiss kama Tiss yani, labda hawana idara ya nchi za nje juu ya ujasusi maaana wao mara nyingi tu utaskia na kuona vurugu zao hapa ndani tu ya Tz hasa kama kuna Mambo yanayohusu wapinzani wa serikali yao
 
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.

Kazi ya tiss ni kuhakikisha ccm inashinda mengine sio lazima
 
Tiss wa wenzetu wapo bize kuiba fursa za uchumi wa mataifa mengine na kuwapa wananchi wao chek machina hadi vijijini yamejaa yanaiba fursa yote ni kazi ya tiss china. Na sio kufuatilia call za Mbowe na membe.
 
TISS hovyo sana wamejaa panzi wa kijani wanaokula nyama.
 
Tiss kama Tiss yani, labda hawana idara ya nchi za nje juu ya ujasusi maaana wao mara nyingi tu utaskia na kuona vurugu zao hapa ndani tu ya Tz hasa kama kuna Mambo yanayohusu wapinzani wa serikali yao
TISS wanaishi kwa kodi zetu watanzania Diaspora nje mtuambie mchango wenu TRA kabla ya kulalamika kudai huduma first class likiwapata ziwe za ubalozi au chochote

Mfano mhindi aliyeko Tanzania ndie agent wa biashara za India Tanzania,Mwarabu aliyeko Tanzania ndie agent wa biashara za uarabuni za mafuta na gesi Tanzania,Mchina ndie agent wa biashara za China Tanzania,Mzungu pia.Wanachangia mauzo ya bidhaa za nchi zao na TRA yao sababu hizo kampuni zinazo export zinalipa kodi nchi zaosababu ni local companies

Tuchukulie Tanzania ingekuwa Ukraine imevamiwa nchi zote hizo zingetuma ndege mbio ku evacuate sababu wanasaidia uuzaji wa bidhaa za nchi zao nje .Wanasaidua uchumi wa Nchi TISS wasingelala wangekesha how to evacuate hao watanzania

Sasa hao walioko Ukraine wanachangia mini biashara na uchumi wa Tanzania na kiwanda vyetu na TRA ?

Kama hawachangii chochote kwa hiyo wanataka watumie pesa za wachangiaji walioko.ndani ya nchi kusaidia wao? Tu drain foreign currency zetu kwa watu wasiochangia chochote kuwasaidia?
Mlioko Ukraine tuelezeni mchando wenu wa kuingia pesa za kigeni Tanzania na kusaidia biashara na kiwanda vya Tanza huko mikononi mna mchango gani ?Takwimu tafadhali
 
Back
Top Bottom