Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Tatizo sio Kiss ni hela mkuu,

Mpaka tupeleke maombi ya mkopo tujibiwe halafu mtu aende kuichukua arudi atumiwe kwenye akaunti halafu ndio tuweke mafuta ndege tukawachukue.
 
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Kwani CIA ambao wako kwenye kitovu cha mgogoro na wanataarifa nyingi walihamisha Wamarekani Ukraine?! Ujuaji wa Kibongobongo again.
 
Nadhani walikuwa bize na Kesi ya Mbowe kujua hatima yake!
 
Kwani CIA ambao wako kwenye kitovu cha mgogoro na wanataarifa nyingi walihamisha Wamarekani Ukraine?! Ujuaji wa Kibongobongo again.
Walitoa taarifa kwa raia wake watoke Ukraine kwani wakati wote kwa taarifa za kiintelijensia waliamini kuwa Ukraine itavamiwa na Russia.
 
Mleta mada kaja na ID nyingine
Kabadilisha ID yake ni My son drink water hujifanya mjuaji na mkosoaji sana wa TISS kwa hoja hewa
 
Ndugu unaongelea tiss ipi? Hawa kazi yao imehaki moja tu kupambana na wanaoipinga CCM tu Basi mengine huwa hayawahusu. Jibu ndo hilo kama ulikuwa hujui.
 
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Wao wa deal na CHADEMA tu.....
 
Putin alikuwa anasema hataki kuishambulia Ukraine.,(Mimi nilikuwa najiuliza,kwa nini hatakikuishambulia Ukraine).
Lakini Putin alikuwa anasema hataki kuishambulia Ukraine. Kwa hiyo inakuwa vigumu kupata hela za kuwaondoa wanafunzi kule.
Watu wamekuwa taken by surprise. Wanaamka asubuhi wanajitayarisha kwenda shule,wanaulizwa,"Unataka shule gani? Husikii mabomu hayo?"
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
 
Umesikia kuna wamarekani wanalia kukwama huko Ukraine?
Usibadilibadili mikao , umeleta hoja kuwa Watanzania walitakiwa wawe-evacuated kwa mkono wa Tiss, swali CIA ndio kidume kwenye hilo eneo, Je walifanya hivyo? Au kuna shirika lolote la kijasusi lililofanya hivyo kabla ya vita?
Kujibu swali lako, sijasikia Wamarekani kukwama maana walitolewa tena na taasisi binafsi tu maana Serikali haikufanya hivyo.
Uangalie na picha kabisa hapo chini
1646496218942.png
 
Back
Top Bottom