Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Kamanda mchovu kwani nyie hamkujua kama mliyemchongea kesi mchongo atatolewa gerezani gafla🤸
 
Huku mtaani naskia skia wanasema ipo kisiasa, kufuatilia wapinzani tu... , sa sijui kuna ukweli
Akili huna wewe umpeleke mwanao Ukraine kwa pesa zako za kifisadi mfano, yakimkuta unataka TISS wamrudishe hivi akili.kichwani wewe zimo?

Unatakiwa kuwa mpole sio kufoka
 
Sidhani Kama wana hayo mamlaka tusiwalaumu sana ukute hawana hayo mamlaka.. wenye ujuzi leteni vipengele vya kazi za tiss.
 
Nasikia kuna watanzania kibao wamebanwa ndani ya mzozo wa Rusisia na Ukraine na hali kwenye baadhi ya miji inakuwa mbaya.

Tiss walipaswa kujua hii hali mapema na kuwahamisha watz wote waliopo huko Ukraine.

Hii ndio kazi mojawapo ya Tiss ni kuhakijisha raia waliopo nje wanarudi nchini safe kabla ya majanga hayajatokea.

Hii ni failure to them.
Idara iliyojigeuza kuwa tawi la CCM na Kujipa Jukumu la kufuatilia Nyendo za CDM tu Mambo hayo watajulia wapi ?
Ghana wao waliwatoa watu wao Mapema kabisa kabla Putin Haja deploy Magaidi wake Ukraine
 
Akili huna wewe umpeleke mwanao Ukraine kwa pesa zako za kifisadi mfano, yakimkuta unataka TISS wamrudishe hivi akili.kichwani wewe zimo?

Unatakiwa kuwa mpole sio kufoka

Wewe mwenye akili umefanya ugunduz wa nn mpaka sasa?
 
Idara iliyojigeuza kuwa tawi la CCM na Kujipa Jukumu la kufuatilia Nyendo za CDM tu Mambo hayo watajulia wapi ?
Ghana wao waliwatoa watu wao Mapema kabisa kabla Putin Haja deploy Magaidi wake Ukraine
Ila warussia sio magaidi magaidi ni viwavi wa kijani, na mabeberu was ulaya na Amerika🤪
 
Sidhani Kama wana hayo mamlaka tusiwalaumu sana ukute hawana hayo mamlaka.. wenye ujuzi leteni vipengele vya kazi za tiss.
Siyo swala la mamlaka watanzania walioko nje mfano Ukraine wana michango gani TRA hadi pesa za ndani ya nchi za walipa kodi wa ndani zitumike kuwarudisha? Ninachojua wengi wanapunguza tu akiba ya fedha zetu za kigeni kwenda kusoma kazi ambazo hata hapa nchini zipo wanajua mbadala ya kufaidisha mzumbe university su IFM wanaenda kusoma vidigrii hivyo hivyo Ukraine kwa kuwalipa dola zetu mfano mzuri ni.mtoto wa Monalisa kaenda kusoma degree ya accounting and auditing ambazo.zipo Tanzania anatumia pesa zetu za kigeni kulipa ukraine

Mchango wa hao wa nje TRA ukoje? Naomba takwimu.
 
Msijitie wajuaji sana. Nchi ngapi zili evacuate raia wake kabla ya bomu la kwanza kutua ukraine? Hao wote hawakupata taarifa?
Boss nchi nyingi sana zilitoa taarifa kupitia balozi zao kuwahimiza wananchi wao waliopo ukraine wajihadhari na ikibidi waondoke. Sisi hapa mpaka ukraine anapigwa for the first time mamlaka ziliendelea kujisifu kuwa wananchi wetu waliopo ukraine wapo salama.
 
Siyo swala la mamlaka watanzania walioko nje mfano Ukraine wana michango gani TRA hadi pesa za ndani ya nchi za walipa kodi wa ndani zitumike kuwarudisha? Ninachojua wengi wanapunguza tu akina ya fedha zetu za kigeni kwenda kusoma kazi ambazo hata hapa nchini zipo wanajua mbadala ya kufaidisha mzumbe university su IFM wanaenda kusoma vidigrii hivyo hivyo Ukraine kwa kuwalipa dola zetu mfano mzuri ni.mtoto wa Monalisa kaenda kusoma degree ya accounting and auditing ambazo.zipo Tanzania anatumia peas zetu za kigenikulipa ukraine

Mchango wa hao wa nje TRA ukoje? Naomba takwimu.
Sina takwimu.
 
Idara iliyojigeuza kuwa tawi la CCM na Kujipa Jukumu la kufuatilia Nyendo za CDM tu Mambo hayo watajulia wapi ?
Ghana wao waliwatoa watu wao Mapema kabisa kabla Putin Haja deploy Magaidi wake Ukraine
Hata Nigeria waliondoa watu mapema.
 
Back
Top Bottom