Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mh Rais, ana kubali upuuziPesa zinatumika tu hapo, hakuna umuhimu wa kuundia timu jambo linaloonekana kabisa
Mao wa China alitahadharisha, "No research no right to speak".Hivi bila tume maamuzi ya maana huwa hayawezi kuchukuliwa? Yaani hatuwezi kutatua matatizo yetu mpaka tume ziundwe? Na cha ajabu sijawahi ona tume iliyoleta jambo la maana likafanikiwa
Bora umemwambia. Siku hizi amejiunga na jopo la Mazuzu wa JF na yeye amekuwa wa ovyooo!! Anaunga mkono Mambo yanayoumiza Wananchi Kwa faida ya Watawala.Boya wewe. Si ndo ulikuwa unasema waongeze ili kuijenga nchi, sasa unatuletea maelekezo ya CCM ili iweje? Mnaendeshwa na mihemko ya wanasiasa sana! Linaloanzishwa na Serikali kwa kuwa unaipenda baai unaona ni jema sana, ikija tofauti baadae na wewe unahamia huko huko.
Hakika hawatabaki salama.Bila kuziondoa TOZO,
Bila kurudisha Kwa wananchi walichowaibia,
Bila kuomba TOBA Kwa kejeli na matusi walotutukana,
HAWATOBAKI salama. Ameen
Si majuzi tu hapa alikuwa anadai yeye ni Mchumi daraja la kwanza tena PhD ..... sasa hayo hakuyaona mapema wakati wanatunga hiyo sheria wakawaomba wataalamu wawasaidie.....!!Hii ndio taarifa ya motomoto..
=======
Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko kuakisi mapendekezo ya chama tawala.
Wataalam wanaangalia namna bora ya kukusanya mapato na watakuja na 'njia rafiki zaidi' kwenye namna ambayo itajali maslahi ya watanzania. Alisema waziri Mwigulu
=======
Tarime. The government has appointed a team of experts to work on the controversial levies on electronic money transactions, the Minister of Finance and Planning said yesterday.
Dr Mwigulu Nchemba told a public rally Sirari, Tarime District, that the government would continue charging the levies on electronic money transfers and other taxes, noting, however, that some changes will be effected to reflect the recommendations of the ruling party on the matter.
“Following the party’s recommendations, the government has appointed a team of experts which has already started undertaking a comprehensive analysis of the matter,” he said, and urged Tanzanians to be patient.
The experts are looking at the best way of collecting the revenue.
Dr Nchemba said the team of experts will then come up with “the most friendly way” of collecting the revenue in a manner that will put into consideration the interests of Tanzanians.
SOURCE: The Citizen
Ni mwendo wa kukatwaa tu... wananchi hawatoi pesa kwenye akaunti zao kwenda kuzikaanga ili wazile; wanaenda kununulia bidhaa na huduma ambako wanalipia kodi. Ondoeni upuuzi wenu wa tozo.
DuhHV wazir e wa fedha nae anakuwa ziarani ?? Kweli kufanya nn yaani
Alfu njemba zima ziko huko tarimee kwanii asifutwe chemba fln nakos mbili tatu aondoaka chapu Mara moja arejeshwe ddm na kaputula tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We fala mkubwa,mimi ndio nimegeuka au Mwigulu?The sunk, umekua mpumbavu mmoja we siulisema tozo kwa maendeleo leo tena unageuka hivi, ninamashaka na unanaume wako hata mtoto wako angeona upumbavu wako unaouandika angesikitika
Kwa hiyo hata wananchi wangelia na kusaga meno waaingesikilizwa hafi CCM iseme?Hii ndio taarifa ya motomoto..
=======
Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko kuakisi mapendekezo ya chama tawala.
Wataalam wanaangalia namna bora ya kukusanya mapato na watakuja na 'njia rafiki zaidi' kwenye namna ambayo itajali maslahi ya watanzania. Alisema waziri Mwigulu
=======
Tarime. The government has appointed a team of experts to work on the controversial levies on electronic money transactions, the Minister of Finance and Planning said yesterday.
Dr Mwigulu Nchemba told a public rally Sirari, Tarime District, that the government would continue charging the levies on electronic money transfers and other taxes, noting, however, that some changes will be effected to reflect the recommendations of the ruling party on the matter.
“Following the party’s recommendations, the government has appointed a team of experts which has already started undertaking a comprehensive analysis of the matter,” he said, and urged Tanzanians to be patient.
The experts are looking at the best way of collecting the revenue.
Dr Nchemba said the team of experts will then come up with “the most friendly way” of collecting the revenue in a manner that will put into consideration the interests of Tanzanians.
SOURCE: The Citizen
Unategemea kuna kitu kipya hapo baada ya kuambiwa bayana kuwa zitaendelea kuwepo?Ni jambo jema