Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

We fala mkubwa,mimi ndio nimegeuka au Mwigulu?

Sasa kama kamati za kihuni ndio zinaagiza tozo kuondolewa harafu hazisemi njia mbadala ya kuleta mapato then unategemea nini?

Si Ili sie wa Vijijini tuendelee kufanywa Mazao ya kunenepesha nyie nguruwe wa mjini?
Umbwa ya hitima wewe, si ulikua unashabikia tozo tena ukasema ziongezwe leo tena unakuja kuleta habari acheni unafiki kenge wewe
 
Hivi hawana akili za kuamua mpaka tume? Au ndio ulaji mwingine

Kabla ya kukurupuka hawakujadili na kuona mazuri na mabaya yake

Hivi kadi ya bank nchi ya nje wanakata makato ya 11,500 kwa ajili ya nini. Niliuliza wakaniambia ni Serikali na bank mimi inanihusu nini?
 
Anafadhili Singida big stars unadhani wabrazili wanalipwaje mishahara
 
Irekebishwe? Mambo ya unalipa kodi kwa njia ya bank kwenda TRA na yenyewe inakatwa si sawa.
Mwigulu hafai kusafisha alichochafua mwenyewe.

Akae pembeni Ili aje mwingine afute TOZO.
 
Mao wa China alitahadharisha, "No research no right to speak".
Mkuu unaelewa kweli ulichoandika? Sasa kwa ishu kama hii ya tozo unataka ifanyike research gani ku prove kuwa tozo ni kilio au wewe ni miongoni mwa wafaidikaji na tozo?
 
Umbwa ya hitima wewe, si ulikua unashabikia tozo tena ukasema ziongezwe leo tena unakuja kuleta habari acheni unafiki kenge wewe
Umbwa mom wako,lini nimewahi badili msimamo kwamba tozo sizitaki?

Tozo ziko pale pale na lazima ulipe mkuu..
 
Kabisa mkuu, hivi kweli Kama tupo serious na Mambo ya hili Taifa Kuna ulazima gani wa kuunda timu kutatua changamoto ya jambo ambalo halikuundiwa timu. Hovyo kabisa Wacha wale kwa urefu wa kamba zao.
Ni kweli, serikali hii hakika ipo kwa lengo moja tu, kutafuta mbina za kuendelea kutafuna kodi zetu...eti tume ya wataalam!

Kuna nini tena cha kuundia tume ambayo kwa vyoyote vile italipwa mabilioni kwa mabilioni eti kupitia upya swala la tozo.

Wizi mtupu...ujinga na ukondoo wetu ndio unawapa fursa haya mangang'au kutuchezea wanavyotaka, shame on us!
 
Hivi hawana akili za kuamua mpaka tume? Au ndio ulaji mwingine

Kabla ya kukurupuka hawakujadili na kuona mazuri na mabaya yake

Hivi kadi ya bank nchi ya nje wanakata makato ya 11,500 kwa ajili ya nini. Niliuliza wakaniambia ni Serikali na bank mimi inanihusu nini?
Unataka waamuaje?
 
Wakati wanapanga hizo tozo kwanini hawakushirikisha hao wataalamu kabla hazijatumika, huo nao ni upigaji mwingine watu wanajiwekea, Mwigulu acha hayo matamko hayajengi zaidi ya kutia wananchi hasira.
 
Hii ndio taarifa ya motomoto..

=======

Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko kuakisi mapendekezo ya chama tawala.

Wataalam wanaangalia namna bora ya kukusanya mapato na watakuja na 'njia rafiki zaidi' kwenye namna ambayo itajali maslahi ya watanzania. Alisema waziri Mwigulu

=======

Tarime. The government has appointed a team of experts to work on the controversial levies on electronic money transactions, the Minister of Finance and Planning said yesterday.

Dr Mwigulu Nchemba told a public rally Sirari, Tarime District, that the government would continue charging the levies on electronic money transfers and other taxes, noting, however, that some changes will be effected to reflect the recommendations of the ruling party on the matter.

“Following the party’s recommendations, the government has appointed a team of experts which has already started undertaking a comprehensive analysis of the matter,” he said, and urged Tanzanians to be patient.

The experts are looking at the best way of collecting the revenue.

Dr Nchemba said the team of experts will then come up with “the most friendly way” of collecting the revenue in a manner that will put into consideration the interests of Tanzanians.

SOURCE: The Citizen

Huwa nacheka sana nikisikia wataalamu wa serikali, utashangaa mapendekezo ya wataalamu hata mtu ambaye hana utaalamu angeweza kupendekeza.
 
We fala mkubwa,mimi ndio nimegeuka au Mwigulu?

Sasa kama kamati za kihuni ndio zinaagiza tozo kuondolewa harafu hazisemi njia mbadala ya kuleta mapato then unategemea nini?

Si Ili sie wa Vijijini tuendelee kufanywa Mazao ya kunenepesha nyie nguruwe wa mjini?

Si muuze zile rasmili ambazo mnasema tunazo mpaka wazungu wanatuonea wivu?
 
Si muuze zile rasmili ambazo mnasema tunazo mpaka wazungu wanatuonea wivu?
Kwani huko uliko hakuna hizo rasilimali? Uza kama ni rahisi kama kunya maana nyie Chadomo ndio mnataka kuaminisha wajinga hivyo..

Kila kitu mnalaumu,mnalalamika na kuponda,ndio maana mkiitisha maandamano mnapuuzwa na watu ila mko busy kupiga Domo huko space..
 
Boya wewe. Si ndo ulikuwa unasema waongeze ili kuijenga nchi, sasa unatuletea maelekezo ya CCM ili iweje? Mnaendeshwa na mihemko ya wanasiasa sana! Linaloanzishwa na Serikali kwa kuwa unaipenda baai unaona ni jema sana, ikija tofauti baadae na wewe unahamia huko huko.
Ndiyo tatizo la chawa huw wepesi kusahau ,wanaenda na upepo
 
Bullshit walioanzisha ni baraza la mawaziri wa ccm chini ya mwenyekiti wao Leo Tena eti kulingana na mapendekezo ya chama

Xvshsjsje msegvsja
 
Kwani huko uliko hakuna hizo rasilimali? Uza kama ni rahisi kama kunya maana nyie Chadomo ndio mnataka kuaminisha wajinga hivyo..

Kila kitu mnalaumu,mnalalamika na kuponda,ndio maana mkiitisha maandamano mnapuuzwa na watu ila mko busy kupiga Domo huko space..

😂😂 Nimecheka vibaya sana, yaani usingepanick ningeshangaa sana, utapanick sana mzee. Ni hivi, huwa mkitaka kudanganya wale mifugo mnaowabeba kwenye malori, huwa mnasema nyie ndio mnalinda raslimali za nchi hii, na wapinzani wanataka kushika madaraka ili wagawe raslimali zetu kwa wazungu. Sasa wadhibitishieni wananchi faida ya hizo raslimali badala ya kuwatoza matozo ya wizi.
 
Back
Top Bottom