Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Hivi bila tume maamuzi ya maana huwa hayawezi kuchukuliwa? Yaani hatuwezi kutatua matatizo yetu mpaka tume ziundwe? Na cha ajabu sijawahi ona tume iliyoleta jambo la maana likafanikiwa
 
Hivi bila tume maamuzi ya maana huwa hayawezi kuchukuliwa? Yaani hatuwezi kutatua matatizo yetu mpaka tume ziundwe? Na cha ajabu sijawahi ona tume iliyoleta jambo la maana likafanikiwa
Mao wa China alitahadharisha, "No research no right to speak".
 
Tuwajue hao kwenye tume. Au ni siri? Huenda tume ipo kichwani mwake.
 
Mambo ya tume yanarudishwa tena ili wagawane keki.

Tume ya MKANDALA imemaliza kazi?
 
Bora umemwambia. Siku hizi amejiunga na jopo la Mazuzu wa JF na yeye amekuwa wa ovyooo!! Anaunga mkono Mambo yanayoumiza Wananchi Kwa faida ya Watawala.
 
The sunk, umekua mpumbavu mmoja we siulisema tozo kwa maendeleo leo tena unageuka hivi, ninamashaka na unanaume wako hata mtoto wako angeona upumbavu wako unaouandika angesikitika
 
Si majuzi tu hapa alikuwa anadai yeye ni Mchumi daraja la kwanza tena PhD ..... sasa hayo hakuyaona mapema wakati wanatunga hiyo sheria wakawaomba wataalamu wawasaidie.....!!
 
... wananchi hawatoi pesa kwenye akaunti zao kwenda kuzikaanga ili wazile; wanaenda kununulia bidhaa na huduma ambako wanalipia kodi. Ondoeni upuuzi wenu wa tozo.
Ni mwendo wa kukatwaa tu
 
HV wazir e wa fedha nae anakuwa ziarani ?? Kweli kufanya nn yaani

Alfu njemba zima ziko huko tarimee kwanii asifutwe chemba fln nakos mbili tatu aondoaka chapu Mara moja arejeshwe ddm na kaputula tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
The sunk, umekua mpumbavu mmoja we siulisema tozo kwa maendeleo leo tena unageuka hivi, ninamashaka na unanaume wako hata mtoto wako angeona upumbavu wako unaouandika angesikitika
We fala mkubwa,mimi ndio nimegeuka au Mwigulu?

Sasa kama kamati za kihuni ndio zinaagiza tozo kuondolewa harafu hazisemi njia mbadala ya kuleta mapato then unategemea nini?

Si Ili sie wa Vijijini tuendelee kufanywa Mazao ya kunenepesha nyie nguruwe wa mjini?
 
Serikali ikitaka kudhulumu raia wake ndo zao hizo, kwa mfano wanataka kuweka tozo ya 3000, wao wataweka 6000, baadae watasema timu ya wataalamu imekaa wamepunguza mpk 3000, raia wajinga watafurahia.
End of the game wao wamefanikiwa
 
Kwa hiyo hata wananchi wangelia na kusaga meno waaingesikilizwa hafi CCM iseme?

Clear indicator kuwa n hi hii si mali ya wananchi na hizi chaguzi ni formalities tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…