Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Hongera sanaa Mchumi Dkt Mwigulu Nchemba
 
Mikutano ya hadhara ni Kwa CCM pekee au na vyama vingine!?
 
Endelea kucheka utavuna manyoya na ulalamishi..

Sasa kama mnaita watu mifugo nyie mtakuwa mnahutubia mbuzi na miti au?
 
Kwa hiyo ameheshimu matakwa ya Chama na siyo Malalamiko toka kwa Wananchi???
 
Endelea kucheka utavuna manyoya na ulalamishi..

Sasa kama mnaita watu mifugo nyie mtakuwa mnahutubia mbuzi na miti au?

Sisi hatuleti watu kwa malori, kwetu watu wanakuja kwa ridhaa yao na sio kwa vitisho vya dola.
 
Mama tozo rudisha machinga barabarani utaua watoto hali tete mtaani.
 
Kwa hiyo ameheshimu matakwa ya Chama na siyo Malalamiko toka kwa Wananchi???

Wanajifichia tu kwenye maagizo ya chama, lakini ukweli ni kuwa tozo imegeuka ni zoezi la hasara. Sasa inabidi waje na gia ya kufuata maagizo ya chama.
 
Yaani kufuta kipengere Cha Tozo Hadi tume🙄🙄🙄🙄
 
Tume ikachunguze nini na simply iondolewe tu, wananchi hawajashauriwa kukatwa tozo serikali kuna vyanzo kibao kupata mapato sio kuonea maskini

Kodi walipe wenye mabiashara mtu ambaye hana ajira vipi analipishws matozo ya ajab ajab
 

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
 
hahahaha, fix before failure dont do it after failure.

Kabla ya kuweka hizo tozo kwanini wasingeunda hilo group la experts kuona madhara na faida ya tozo then wafanye simulation ya mawazo waone how it works.
Hao experts bila shaka wangeshauri vizuri nini serikali ifanye kujiongezea mapato au namna nzuri ya kuintroduce hizo tozo.

Madhara ya watu waliojaa theory kichwani na kukosa exposure ni makubwa kuliko tunavyofikiiria.
 
Kuna mushkeli kwenye namna tunavyotawalana. Sheria ya tozo imepitishwa na wawakilishi wa wananchi, viwango na kanuni vikawekwa na wizara, vikaanza kutumika wananchi wakasema hapana, wakaambiwa wao wenyewe ndio walioshauri, wasiotaka wahamie Burundi, wizara na wakuu wa mikoa wakaja pamoja kuonyesha umuhimu wa tozo na faida zilizokwoshapatikana na zijazo, wananchi waliosema hapana hawakunyamaza, chama kikaingilia wakaitaka serikali ifanye namna, ndio ikaundwa tume ya wataalamu.

Wananchi wamesema hapana hawa wataalamu kazi yao nini? Wakisema tozo ziendelee ndio wananchi wataridhia?
 
Kupoteza muda na rasilimali za fedha za TAIFA kwanini haikuundwa tume awali kuona kama hizo tozo zitakua na tija? Mnaunda tume sijui timu saizi what for ? hivi hamna viongozi wengine wapewe io wizara
 
Tatizo alisababishe yeye alafu anakuja kutuzuga na timu za kuchunguza namna ya kutatua ushubwada mtupu. Typical politician shenanigans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…