Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Ongeza nyama mkuu hii bado skeleton yaan hii elimu ni pana mno halafu ume-outline tu na ku-mention ongeza maelezo kidogo hapo universe inachukuaje energy yako ukiwa umelala na nini faida au hasara za kuchukuliwa hio energy na universe?
Ndo maana Nikasema wewe utakuwa Taoist 🤣🤣
Sasa Taoism wanachokiamini sio kwangu mimi sio tu kukifanya Hata kukifikiria Siruhusiwi taoist ana ruhusiwa Kupunguza Jing kulingana na kiwango ila Baadhi ya Schools Of thought hawaruhusiwi kabisa hata kujaribu Kutoa hata chembe..

Hiyo ni shule Pana sana kuhus Jing na Qi..
Mwishoni tutaingia Kwenye Ying na Yang tupotelee kabisa huko huko 🤣🤣
 
Eeh mkuu sasa ubaya ukiwa na social media app kama ig, twitter, fb hivi vitu utaviona sana mwisho wa siku unapata ushawishi mbaya
Yaan unajua ntakupa mfano mwili wa Mwanamke sijui umeumbajwe ila kuna tofauti ya kumuona Mwanamke akiwa hivyo kwenye picha na akiwa hivyo face to face yaan akiwa mbele, ntakupa mfano kuna sehemu nilikua natembea nipo sawa tu ila kwa mbele akakurupa mama au niseme lishangazi toka kichakani kukojoa yule shangazi alikua amejazia sana mapaja meupeeee yaan amenona kiasi cha kushanga sasa akiwa anachomoka ndio alikua anavaa chupi kwa hio kwenye kuipandisha nikaona each & everything yaan km kuna likitu liliniingia nikawa natamani kwenda kumuimbisha ila nikalituliza maana ule ulikua mtego abdallah chini huku akalalamika weee nikamwambia weee tulia
 
Hahaha!

Hata mimi leo nimeenda kwa mangi kununua karanga na juisi za bakhresa kulikuwa na kiti muuza duka ni mmama mweupe ana mitako hivyo hivyo eti kusimama anapandisha dera juu weeeeeh nikasema Mungu wangu uzuri nilikuwa nimetoka kushtua hivyo sikushtuka sana nikapotezea tu ila ningekuwa na nyege za miezi nane mmmh ningeimbisha asee
 
Hapo upo sahihi mkuu halafu wewe umenijuaje kirahisi hivyo?
 
Sasa ndio hivyo pdidy anapita nao na wewe upo nae ghorofani?
 
Hapo upo sahihi mkuu halafu wewe umenijuaje kirahisi hivyo?
Ukishakuwa Kwenye Hizi Mambo kwa muda mrefu mtu akiongea kitu chochote unajua kabisa Huyu anatoka kwenye Upande upi na wala haikupi shida kugundua na Ndo kitu Pekee kinachotutofautisha na watu wa Dini..

Kwa sababu unaweza kumjua Mtu bila hata ya yeye kuongea Chochote unajua kwa kumuangalia tu kwahyo unaweza kuandaa njia za Upendo hata kama Ataonyesha chuki hasa..

Kingine Mimi nilikuwa mfuasi sana mwanzoni na nilikuwa namsoma sana na Kumuangalia Youtube mwalimu wenu yule Mantak Chia..
Huyu jamaa ana elimu Kubwa sana katika Taoist nahisi Kupita Wengi sana..
 
Hapo upo sahihi mkuu ila pale kwenye BAO LA USINGIZI elezea tena kidogo kwa undani wape elaboration kwa undani kidogo jinsi inavyokua usiingie kwenye Yin & Yang ila zungukia kwenye Jing, Qi & Shen
 
Kwa watu wawili wasio na hisia zozote za kimapenzi wakisex kwa tamaa zao tu hiyo alignment inatokea vipi?
 
To what extent majibu ya Polygraph huwa ni sahihi ?
 
To what extent majibu ya Polygraph huwa ni sahihi ?
Kama mpimaji ni Bora na mzoefu we Expect Majibu yatakuwa 95% Accurate..

Japo Ni tricky sana kwa sababu kuna Pathological Manifestation ya Mpimwaji..
Japo ni 1 kati ya watu 10000 wanaoweza Kubypass Polygraph na ndo maana Siku hizi kuna Vipimo Zaidi ya 10 Kuverify Polygraph
 
Ni Vigumu Sana Mtu kusex Bila kuwa na Hisia...
Unless Tunaongea Nadharia tukubaliane
Nyege tu mkuu, binadamu tunapendaga kufanya mambo ya kawaida kwa viumbe hai kuwa magumu yanapotuhusu. Yaani mtu kashikwa na minyege yake, kaenda kakubaliana na mwanamke huko wakapandana kuna tofauti gani na ng'ombe, mbuzi, mbwa, nzi wanapopandana? Labda useme kwa kuwa wao nyege zao kwa jike ni mpaka awe kwenye heat ili wazaane wakati binadamu zinakuja kwa ajili ya starehe.
 
Hahaha Kwani Nye** Mkuu sio Hisia..
Tena Ili uwe salama bhasi weka Nye** aside kabisa maana Unaweza kujikuta Umetembea na Yeyeto
 
Hahaha Kwani Nye** Mkuu sio Hisia..
Tena Ili uwe salama bhasi weka Nye** aside kabisa maana Unaweza kujikuta Umetembea na Yeyeto
Ni hisia, ila ni hisia kama kiu ya pombe, maji, sigara n.k Inaisha ukipata huduma itakayokupelekea upige kabao kako. Ndo maana kuna wanaojichua na wakimaliza inaondoka. Hawa nao wanaambiwagwa kuwa ni mbaya kiroho sababu wanafungua milango gani sijui ila kuna uwezekano ni complication zetu tu kama ilivyo kawaida yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…