Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Eti ni Dr.
 
Utakuwa ulichezewa huko sirini ukiwa mdogo bacteria wakaishambulia pauchi. Chukua hiyo kwa faida yako
 
Kungwi anajiita daktari mbobezi wa mambo ya kina mama halafu nondo zake nae anatoa google kama sisi tuliosomea mpira
 
Sisi tunamsikiliza daktari kashasema
 
Mmh polee, inaweza kuwa hiyo ya kurithi iliyoelezewa na mkuu Analyse pengine....
 
Tena sijasomea hapa Tanzania wanapofundisha hawa wanywa mbege na gongo. Mm nimesomea nje kwa wenye elimu zao
nje huko hakuna hata panya wa kufanyia mazoezi? waliwadanganya,
 
Kwahiyo hao bacteria hawaondoki madaktari wameshindwa?
Vimelea vikiingia sehemu vikakaa muda mrefu hata siku ukiviua vinakuwa tayari vimeacha madhara yasiyoisha. Madaktari wanaelewa nasema nn
 
Bora utusaidie watu wanazaa na matumbo yanauma pale pale
 
nje huko hakuna hata panya wa kufanyia mazoezi? waliwadanganya,
Hapo unaongopa. Viongozi wako wote na wenye pesa zao wakibanwa hata na kokohozi wanakimbilia nje. Ni kwasabb wanajua madaktari wanaopikwa bongo siyo
 
Kwa kweli inabidi uwache uongo uliokithiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…