Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Eti ni Dr.
 
Utakuwa ulichezewa huko sirini ukiwa mdogo bacteria wakaishambulia pauchi. Chukua hiyo kwa faida yako
 
Hizo possible causes ulizotuma screenshot, hata Mimi nimeziona mtandaoni kama zilivyo, ila zilianza na kichwa cha habari kinachosema "Although the exact cause of endometriosis is not certain, possible explanations include:"

Wewe hapo umeanza na neno Possible, sijajua hayo ya mwanzo umeyaacha kusudi au ni vipi.

Alafu kingine Kungwi, umeniambia sababu niliyokupa Mimi, imebuniwa na madaktari uchwara wa mitandaoni, ila hapo hapo ukaleta screenshot uliyoitoa mtandaoni.

Nifafanulie vizuri Kungwi
Kungwi anajiita daktari mbobezi wa mambo ya kina mama halafu nondo zake nae anatoa google kama sisi tuliosomea mpira
 
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Sisi tunamsikiliza daktari kashasema
 
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Mmh polee, inaweza kuwa hiyo ya kurithi iliyoelezewa na mkuu Analyse pengine....
 
Kwahiyo hao bacteria hawaondoki madaktari wameshindwa?
Vimelea vikiingia sehemu vikakaa muda mrefu hata siku ukiviua vinakuwa tayari vimeacha madhara yasiyoisha. Madaktari wanaelewa nasema nn
 
Hizo possible causes ulizotuma screenshot, hata Mimi nimeziona mtandaoni kama zilivyo, ila zilianza na kichwa cha habari kinachosema "Although the exact cause of endometriosis is not certain, possible explanations include:"

Wewe hapo umeanza na neno Possible, sijajua hayo ya mwanzo umeyaacha kusudi au ni vipi.

Alafu kingine Kungwi, umeniambia sababu niliyokupa Mimi, imebuniwa na madaktari uchwara wa mitandaoni, ila hapo hapo ukaleta screenshot uliyoitoa mtandaoni.

Nifafanulie vizuri Kungwi
Bora utusaidie watu wanazaa na matumbo yanauma pale pale
 
nje huko hakuna hata panya wa kufanyia mazoezi? waliwadanganya,
Hapo unaongopa. Viongozi wako wote na wenye pesa zao wakibanwa hata na kokohozi wanakimbilia nje. Ni kwasabb wanajua madaktari wanaopikwa bongo siyo
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Kwa kweli inabidi uwache uongo uliokithiri.
 
Back
Top Bottom