Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Nahitaji ufafanuzi wako Kungwi, umesema mitandaoni ni wahuniUnamsumbua kungwi bhana. Mambo mengine si ujiongezage mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji ufafanuzi wako Kungwi, umesema mitandaoni ni wahuniUnamsumbua kungwi bhana. Mambo mengine si ujiongezage mwenyewe.
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...Uliwahi kuwa mwanamke au unasema tu.
Shut out to women who don't use their private parts as sources of income or centers for recreation.Sometimes it's so hard to be a woman, but anyways, still issa huge blessing..!!
Ningekusulubu huko labourMsomi wa magonjwa ya wanawake ni Dr Sijabaji wengine ni makanjanja tu.
(vile sizai tena ningekoma )
Eti ni Dr.Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Utakuwa ulichezewa huko sirini ukiwa mdogo bacteria wakaishambulia pauchi. Chukua hiyo kwa faida yakoYaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Alikuwa mwanamme baadae akawa mwanamke saizi hana jinsia ndo maana ya jina lake.Uliwahi kuwa mwanamke au unasema tu.
Mbona mnanijadili badala ya kujadili hoja? Kuna maswali hapo kwenye uzi, si muyajibu sasaAlikuwa mwanamme baadae akawa mwanamke saizi hana jinsia ndo maana ya jina lake.
Tena sijasomea hapa Tanzania wanapofundisha hawa wanywa mbege na gongo. Mm nimesomea nje kwa wenye elimu zaoEti ni Dr.
Kungwi anajiita daktari mbobezi wa mambo ya kina mama halafu nondo zake nae anatoa google kama sisi tuliosomea mpiraHizo possible causes ulizotuma screenshot, hata Mimi nimeziona mtandaoni kama zilivyo, ila zilianza na kichwa cha habari kinachosema "Although the exact cause of endometriosis is not certain, possible explanations include:"
Wewe hapo umeanza na neno Possible, sijajua hayo ya mwanzo umeyaacha kusudi au ni vipi.
Alafu kingine Kungwi, umeniambia sababu niliyokupa Mimi, imebuniwa na madaktari uchwara wa mitandaoni, ila hapo hapo ukaleta screenshot uliyoitoa mtandaoni.
Nifafanulie vizuri Kungwi
Sisi tunamsikiliza daktari kashasemaYaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Mmh polee, inaweza kuwa hiyo ya kurithi iliyoelezewa na mkuu Analyse pengine....Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Kwahiyo hao bacteria hawaondoki madaktari wameshindwa?Utakuwa ulichezewa huko sirini ukiwa mdogo bacteria wakaishambulia pauchi. Chukua hiyo kwa faida yako
May be. Nimeshazoea ingawa haizoeleki😅😅Mmh polee, inaweza kuwa hiyo ya kurithi iliyoelezewa na mkuu Analyse pengine....
nje huko hakuna hata panya wa kufanyia mazoezi? waliwadanganya,Tena sijasomea hapa Tanzania wanapofundisha hawa wanywa mbege na gongo. Mm nimesomea nje kwa wenye elimu zao
Vimelea vikiingia sehemu vikakaa muda mrefu hata siku ukiviua vinakuwa tayari vimeacha madhara yasiyoisha. Madaktari wanaelewa nasema nnKwahiyo hao bacteria hawaondoki madaktari wameshindwa?
Bora utusaidie watu wanazaa na matumbo yanauma pale paleHizo possible causes ulizotuma screenshot, hata Mimi nimeziona mtandaoni kama zilivyo, ila zilianza na kichwa cha habari kinachosema "Although the exact cause of endometriosis is not certain, possible explanations include:"
Wewe hapo umeanza na neno Possible, sijajua hayo ya mwanzo umeyaacha kusudi au ni vipi.
Alafu kingine Kungwi, umeniambia sababu niliyokupa Mimi, imebuniwa na madaktari uchwara wa mitandaoni, ila hapo hapo ukaleta screenshot uliyoitoa mtandaoni.
Nifafanulie vizuri Kungwi
Hapo unaongopa. Viongozi wako wote na wenye pesa zao wakibanwa hata na kokohozi wanakimbilia nje. Ni kwasabb wanajua madaktari wanaopikwa bongo siyonje huko hakuna hata panya wa kufanyia mazoezi? waliwadanganya,
Kwa kweli inabidi uwache uongo uliokithiri.Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)
- 1. Endometriosis.
- 2. Uterine fibroids.
- 3. Adenomyosis.
- 4. Pelvic inflammatory disease.
- 5. Cervical stenosis.
Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.
Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..
Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.
Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.
Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???
Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.
Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.
Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless